Tatizo ni nini? Kuna ??????

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Igweeeee!!

tatizo ni nini, kuna nini wakuu?
Suala si lingine nalotaka kulizungumzia ila ni hili la siku zote, NGONO!! Tena Ngono ZEMBE!

Jamani elimu ya kutosha tunapata kuhusu UKIMWI na magonjwa mengine ya Zinaa lakini wapi!!

Misikitini, makanisani, na manyumbani hadi mitaani watu wenye hekima zao pamoja na hao hao wapenda ngono wana prettend kupiga kelele kuwa ngono zembe ipigwe vita,

Serikali na makampuni binafsi yanashirikiana kupiga vita, lakini wapi!!

Kwa kuwa watu wameprettend kama hawaelewi basi wamewekewa hadi alerting bangos

>Acha ngono
>Baki na mmoja
>Tumia condom
>UKIMWI unaua
>Timiza malengo yako
>Jali maisha
>Heshimu ahadi zako
>Jiheshimu
>Jali mwenzako

na mengine lukuki!!!

Khaaaaaaaaa!!!

Sasa ili huyu binadamu aelewe na kukubali afanyiwe nini?
Kwenye maandiko ya dini zetu tumeaminishwa kuwa binadamu ndo kiumbe kilichopewa akili na Mungu kuliko kiumbe kingine!!
Sasa kwa nini tunakuwa wagumu kupokea mabadiliko??

Binadamu afanyiwe nini ili ajipende na kujijali?
Au hatuamini kwamba UKIMWI upo na unaua tena hadi tunawaonea huruma wagonjwa?

Wengine wako kwenye ndoa, sasa kwa nini wasiheshimu ndoa zao?
Kuna sifa ya kuwa bingwa wa kufanya sana ngono?

I submit

First Born

.
 
Huwa always majuto ni mjukuu na hakuna anayejuta kabla ya kufaknya huwa tunafanya na then tunakuja kujuta
 
Tatizo sisi wanaume tunatumia kichwa kidogo kufikiria muda mwingi badala ya kikubwa
 
Unajengewa mazingira ya kupata maradhi,wanakuletea makampuni ya kuhamasisha kutumia vitu kukabiliana na maradhi waliyokusababishia,unatozwa kodi kwaajili ya kuyalipa makampuni hayo,unaletewa madawa yasiyotibu unayanunua mengine unapewa bure urudi mtaani kuuneza tena kwa siku kama elfu tano ili dawa zinaposhindwa kukuongezea pumzi uwe umeongeza idadi ya wanachama wa watarajiwa wa kifo!
 
lakini ukiona mwenzako anajuta kwa nini usishituke?

Mkuu saana sana huwa hatufikiri kabla ya kutenda huwa tunafikiri na kujuta baada ya kutenda
Huwa hatushtuki hata ukienda hospital ukikutana na mtu ameugua huu ugonjwa na ameisha kabisa unaapa kuwa hutafanya tena ila ukitoka tuu nje ya ile hospital ukiona masaburi tuu yamekaa kiaina tayari ushasahau kila kitu
 
umesema masaburi nikatamani kucheka lakini nikakumbuka topic si ya kuchekea, we should be serious lakini kwa ????
 
Yeah tatizo sijui ni feelings au emotions zinatupeleka au ni tamaa tuu au ni nini maana huwezi jua ni kitu gani kinakusukuma
Yaani unajikuta uko kwenye kikaango bila hata kutarajia na wakati huo huo una akili zako timamu
I think kuna vihamasisho ambavyo kama vikiondoka tunaweza kujikuta tumeacha ila kuna vichocheo vingi sana vinatupeleka kufanya maamuzi mengine sometimne yanakuwa ya kijinga ila tunajikuta tumefanya
 
maamuzi yasiyo na msimamo. Kigoli kimoja unajisahau kama kuna kifo. Khaaaa!!
 
maamuzi yasiyo na msimamo. Kigoli kimoja unajisahau kama kuna kifo. Khaaaa!!

Ndo maana nasema huwa tunashtuka na hata kujuta inaanza baada ya kile kibao kimoja ndo mtu unaanza kujiuliza hivi nimefanya niini na kwa nini nimefanya
Kuna umuhimu gani na nimefaidika nini zaidi ya kujiumiza na kufeel guilty kama umecheat kwa mchumba au mke au uko na mke wa mtu unajiuliza nikikamatwa itakuwaje na hiki kibao kimoja
 
hatuna break!
 
Mkuu break itatoka wapi
kama tungekuwa na break wala tusingewaacha wake zetu home na kwenda kuparamia house gal au bar maid
wala tusingekuwa kila tukiona upaja au masabauri kichwa kidogo kinasimama

ila hivi huu mkasa hauwahusu wanawake?
 
Back
Top Bottom