Tatizo ni elimu au kabila?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
Huyu jirani yangu msomi mwenye PhD tunaishi naye nyumba ya kupanga. Ni mkorofi sana, anatumia air condition, lakini likija swala la kulipia luku hataki kabisa kuchangia.
yeye ni mtu wa mkoa wa ziwa magharibi uliopo kaskazini magharibi mwa nchi yetu.
Sielewi matatizo yake ya u machi noo yanasababishwa na elimu yake au ni kabila?
 
mijitu mingine hovyo kweli, yaani bosi wangu ni mtu wa pande hizohizo, anataka eti tuwe tunampokea begi lake, mi huwa simpokei wala nini, basi amenichukia kwelikweli.
 
Huyu mwenye PhD ambaye hadi leo anaishi kwenye vyumba vya kupanga ni kilaza wa kufa mtu. Mimi mwenyewe pamoja na kuishia Form Six lakini napangisha watu tena kwenye mikoa minne mikubwa.
 
mmmh ni wapi huko si mseme?
 
We ni dalali?

Mimi dalali????? Kivipi???? Au ulikuwa unamaanisha mimi Balali????? Mimi siyo Gavana Balali ila nina ujanja wa kutengeneza pesa kwa kutumia mbinu halali za kutafuta hela. Najua kutumia lakini pia najua kutafuta. Sasa huyo kilaza mwenye PhD halafu anaishi kwenye chumba cha kupanga namfanisha na kuku au nyau tu.
 
Sisi wenyewe kuna jirani ye2 awamu ya kwanza ya jk alikuwa mbunge na waziri mdogo awamu ihi kapigwa chini na mbunge wa nccr.yeye kuanzia ndani kwake si watoto wala house boy au gal wote kawapa amri wanamwita MHESHIWA shikamoo,kunamgeni au karibu chakula
 
Huyu jirani yangu msomi mwenye PhD tunaishi naye nyumba ya kupanga. Ni mkorofi sana, anatumia air condition, lakini likija swala la kulipia luku hataki kabisa kuchangia.
yeye ni mtu wa mkoa wa ziwa magharibi uliopo kaskazini magharibi mwa nchi yetu.
Sielewi matatizo yake ya u machi noo yanasababishwa na elimu yake au ni kabila?

mkuu kazi ni ndogo tu,mwambieni mwenye nyumba atengeneze luku kwa kila chumba,hususani chumba hicho anachokaa Mzee wa PHD,
Kama itakuwa ngumu basi wewe nawe na wapangaji wengine ni swala la kujipanga na kuweka kamgomo baridi cha kuto kulipa ama kununua luku mpaka hapo jamaa atakapo jirekebisha

Ikigoma nayo hiyo we hama tu,ila usiende kuhamia Mabondeni maana kule bei ni chee za upangaji
 
Sisi wenyewe kuna jirani ye2 awamu ya kwanza ya jk alikuwa mbunge na waziri mdogo awamu ihi kapigwa chini na mbunge wa nccr.yeye kuanzia ndani kwake si watoto wala house boy au gal wote kawapa amri wanamwita MHESHIWA shikamoo,kunamgeni au karibu chakula

Mbunge aliyepigwa chini na NCCR na aliwahi kuwa waziri mdogo ni Nsazugwanko, aisee unaishi naye mitaa gani hiyo? Make na mimi ni jirani yangu.
 
Mi kila siku nawaambia hawa maPhd uswahilini tunawaita wehu.

Labda kuna formula anayoitumia afu nyie hamuielewi.
 
mWITA UJENZI WA NYUMBA NA ELIMU HAVINA UHUSIANO. PENGINE NI FURSA. WAPO MAPHD HOKDERS WANASAGA RAMI KUTAFUTA KAZI SEUZE NYUBA YA KKUMILIKI!!!!
Huyu mwenye PhD ambaye hadi leo anaishi kwenye vyumba vya kupanga ni kilaza wa kufa mtu. Mimi mwenyewe pamoja na kuishia Form Six lakini napangisha watu tena kwenye mikoa minne mikubwa.
 
Huyu jirani yangu msomi mwenye PhD tunaishi naye nyumba ya kupanga. Ni mkorofi sana, anatumia air condition, lakini likija swala la kulipia luku hataki kabisa kuchangia.
yeye ni mtu wa mkoa wa ziwa magharibi uliopo kaskazini magharibi mwa nchi yetu.
Sielewi matatizo yake ya u machi noo yanasababishwa na elimu yake au ni kabila?

Huyo ni matatizo yake tu ya tabia mbovu tu wala haihusiani na kabila wala elimu. Kwa sababu mkoa wa Ziwa Magharibi (sasa Kagera) una makabila mengi ya watu wazuri tu wengine wapole, wastaarabu, wengine wanajiona wamesoma sana (nshomire), wengine watu wa amani na wapenda watu. YAANI HUYO JAMAA TATIZO NI YEYE MWENYEWE. Taratibu Bujibuji usije ukatukana makabila ya watu bure
 
naona tatizo ni phd na ukanda wa ziwa..tofauti na hapo wewe pia ni tatizo unataka auze a/c yake mfanane eti kisa inakoshumu umeme vp kuhusu vifaa vingine unavinyamazia unakomaa na kipupwe cha mzee wa phd kutoka kanda ya ziwa maghalibi.
 
Back
Top Bottom