pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 706
- 665
- Thread starter
- #1,021
Pc yangu aina ya dell ukitikisa stand(meza)ambayo nimewekea basi inazima nini tatzo pia tatzo la kuleta mawimbi mawimbi kwenye screen nini tatzo
Hapo unatakiwa uangalie vga cable yako ya pc hiyo ni kuhusu kuleta mawimbi,
Pia angalia kioo chako na sehem ambayo inaunganisha sehem ya kioo na motherboard apajakuwa pamelegea?
Kuhusu kuzima hiyo inawezekana kuna sehem Inagusana ndani ya motherboard Kwaiyo inasababisha short circuited na ilo inabidi ulifanyie mapema though ipo siku pc yako utaikosa