Tatizo lolote la PC/device

hello members...nahtaj msaada..macbook yangu ni v10.7.5 au Lion version..kila nikidownload app appstore inanambia nahtaj v10.8 had v12 kabisaa..
nmeshindwa kudownload app nyng na za muhmu sana.kwa yyte anayeweza kunisaidia hli jambo..au anisaidie direct link za google ili niweze ku download hzo app...
 
PC yangu ilikataa kuchaji gafla..ikawa ikizima ndio inachaji ikiwa on haichaji.. Tatizo ni nini wadau... Mwishoni haiwaki tena
 
Kagua battery, fanya hiv toa hilo battery kisha bonyeza power button kwa dakika tano mpaka kumi kisha achia hiyo button.

Baada ya hapo chomeka hiyo chaja bila battery na weka kwenye umene then iwashe hiyo pc, ukiona inawaka zima weka battery kisha chomekwa wenye umeme na iwashe ukiona haiwak hapo tatizo ni battery
PC yangu ilikataa kuchaji gafla..ikawa ikizima ndio inachaji ikiwa on haichaji.. Tatizo ni nini wadau... Mwishoni haiwaki tena
 
Pakua app zinazoendana na version ya device yako na usipende kupakua app ambazo haziendan na version ya device yako. Yaan apps ambazo sio compatible na device yako lazima zikatae.

Let say kuna apps zipo updated kwa version 10 nawe unapakua app zenye version juu ya hiyo hapo lazima zikatae.

Solotion yake ni kupakua zila apps ambazo zipo compatible na version ya device yako
hello members...nahtaj msaada..macbook yangu ni v10.7.5 au Lion version..kila nikidownload app appstore inanambia nahtaj v10.8 had v12 kabisaa..
nmeshindwa kudownload app nyng na za muhmu sana.kwa yyte anayeweza kunisaidia hli jambo..au anisaidie direct link za google ili niweze ku download hzo app...
 
Kwanza kabisa nikuulize vip hiyo pc inashika joto?
Nadham hili ni hardware issue na mafundi hardware wapo vizuri kwenye hzi kwa sababu unaweza ukaambiwa uchomoe cmos battery au ufanyie soldering sidhan kama utaweza.

Nakushauri tu upeleke kwa fundi hardware ataifungua na kuikagua na sababu nyingine ni vumbi kujaa kwene machine yako so mafundi huwa wanaipiga blower ili kuondoa vumbi lote.

Tahadhari!!
Pindi unatumia pc usipende kuweka kitandani na kama unataka kuweka kitandani kumbuka kuweka mto au kitabu kisha juu ya kitabu au mto ndio unaweka pc
mkuu pirate kuna swali moja watu walielezea sana kuhusiana na pc kuzima ghafla na baadae display kutoonesha chochote ila taa za kwenye keybord kuwaka na kuzima kama indicator hili tatizo limekumba pc yangu nilikuwa naitumia vizuri sana ikazima tu ghafla.
Now nikiiwasha tu feni inazunguka sana afu taa za kweny keybody zinawaka na kuzima karibia saa nzima ni hvyo hivyo nimejaribu kutoa betri na kuwasha bila betri lakni bado nikachomoa ram na kuwasha bila ram iko vile vile nifanyejena tatiz ni nini? Ni hp elitebook
 
Desktop au laptop?

Kama ni desktop angalia vga kama umekaza vizuri maana usipoikaza vizuri ikitikisika lazima isumbue.

Kingine ni kagua kama HDD au RAM imekaza vizuri vinginevyo itazid kusumbua baada ya kuitikisa.

By Tech Trick
Pc yangu aina ya dell ukitikisa stand(meza)ambayo nimewekea basi inazima nini tatzo pia tatzo la kuleta mawimbi mawimbi kwenye screen nini tatzo
 
Ushafahamu kuwa hiyo pc inazima kwa sababu ya overheat so badil mazingira unayopendelea kuiweka hiyo pc.

Kama unaweka juu ya mweza au unachezea game au kazi nyingine hasa mult tasking hapa lazima pc ichoke kwa sababu ya processor inazidiwa uwezo na fan kuchoka matokeo yake hushika joto.

Kuwa na mazoea ya kuipumzisha au kufanya kazi kwa utulivu wala usizidishe sana matumizi.

Mfano wewe huwezi kula sana mpaka ukashiba ila bado unakulaa tuu hapo lazima uchoke au uvimbiwe.

Pia peleka kwa fundi akaipige blower kisha aifanyie soldering itakaa sawa.

By Tech Trick
Nina pc yangu hp inatatzo la kuzima zima ovyo kwa kigezo cha kuovercome heating lakini mimi spendi izime kutokana na nature ya kazi yangu nayofanyia nini tatizo(n.b setting zote za sleeping ziko sawa)
 
Hapo nadhan hiyo slot ya power supply kuna tatizo so nadhan ni tatizo la umeme kushindwa kuwasiliana na entire system.

Kwa sababu unapochomeka umeme huwa unasambaa kwenye system nzima so kama kuna bugs lazima pc izime.

Solution hapo peleka kwa fundi wakaangalia hiyo power supply
Nna pc nikiplug tu adapter kwenye port ya power inawaka na kuzima continously....tatizo litakua nini
 
Hapo nadhan hizo ni ads yaan advertisements. Hii inatoka na software ambayo umeweka ipo ads ambedded au freeware(free software).

Jaribu kukagua hiyo browser kisha settings then chagua adblock then block all ads.

Na sometimes ni virus attack wanaosababishwa na kupakua programs bila ya kujua trusted sites
Tatizo la pc kila napo connect na internet browser zinafinguka na kuanza kufungua website kama zote nali sove vp na linatokana na nn ?
 
Habari zenu.pc yangu ni kama tv umeme ukikata nayo inazima.nilinunua betri mpya ilivyoisha chaji mambo yakawa ni yaleyale.kwa ufupi haichaji.nn tatizo. Ni Samsung
 
Hapo nadhan hiyo slot ya power supply kuna tatizo so nadhan ni tatizo la umeme kushindwa kuwasiliana na entire system.

Kwa sababu unapochomeka umeme huwa unasambaa kwenye system nzima so kama kuna bugs lazima pc izime.

Solution hapo peleka kwa fundi wakaangalia hiyo power supply
Asante mkuu nimekusoma vizuri
 
Tatizo la pc kila napo connect na internet browser zinafinguka na kuanza kufungua website kama zote nali sove vp na linatokana na nn ?

Source ya titizo hili ni pale unapoinstall programs flani ambazo nying uwa zinakuja na website hosted, sasa pale unapoistall tu uwa zinakuwa kwenye process, namaanisha unapoweka program mpya Kwenye zile sehem za mwanzon kabla ya agreement uwa kunakuwa na hizo sehem za kukubali kuweka hizo website link kuwa start up pages once web browser starts, kwaiyo cha kufanya ni kufungua browser alaf badae unaangalia kila jina la hizo web pages kisha nenda Kwenye add/remove programs (hii ni kwa Windows tu) kisha utazikuta huko ndipo utazifuta zote
 
Nna pc nikiplug tu adapter kwenye port ya power inawaka na kuzima continously....tatizo litakua nini

Anyway mkuu swali lako alijakamilika, ila ni hiv:

Pc inawaka na kuzima? Na je ni pC gani ?

Hiyo sehem ya port ya charging inawaka na kuzima?

Hiyo charger yako inacharg hiyo pc au?

Taja na model gani ya hiyo pc pia
 
Nina pc yangu hp inatatzo la kuzima zima ovyo kwa kigezo cha kuovercome heating lakini mimi spendi izime kutokana na nature ya kazi yangu nayofanyia nini tatizo(n.b setting zote za sleeping ziko sawa)

Overheating source ni feni alizunguka kwa ufasaha Kwaiyo cha kufanya badili feni, kama utafanya mwenyw basi akikisha unaifanyia usafi pia
 
Back
Top Bottom