Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,473
Zima pc, halafu washa, the bonyeza F2 mara nyingi nyingi mpaka Pc itaingia bios,Mkuu hapo sijakuelewa naomba ufafanuzi tafadhari pc ni dell latitude 6420.
Ikishaingia bios utakuta menu nyingi nyingi tafuta hio menu ya secure boot fuata maelekezo ya juu.