Imani2018
New Member
- Oct 25, 2018
- 3
- 3
Hivi unajua unaweza ukatongozwa sana na ukakosa kuolewa?
Hili ndio tatizo linalopata wasichana wengi warembo. Watu wataka kutembea na wewe tu ili wapate kiki lakini hakuna atayekwambia ywataka ndoa.
Kwa hiyo msimcheke Wema sepetu manake labda huyu jamaa hovyo ndio peke yake aliyetaka ndoa naye. Wengine walisoma katiba wakasepa