Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,773
- 5,930
Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma.
Hapo ndipo yalianza matatizo
Hapo ndipo yalianza matatizo
Polisi wamemfanya nini Simbachawene? Usishangae akabambikwa kesi km yule waziri mstaafu fulaniKwa vile ana uwezo wa kukariri ama kumeza Kama kasuku akafaulu aliyopewa kuyameza basi mie najua hata kuomgoza
Kwa kweli Simbachawene angeweza kuwa PM bora sana x100 kuliko MwiguluTatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba
ubora wa pm unategemea na aliyeko juu yake, aliyemteua, huwezi kwenda kinyume nayeKwa kweli Simbachawene angeweza kuwa PM bora sana x100 kuliko Mwigulu
Niliona clip yake TIKTOK, huyu jamaa aliongea kwa busara sana kuhusu mahusiano ya polisi na raia.Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma.
Hapo ndipo yalianza matatizoView attachment 3527433