Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Na nikueleze uelewe, hao unawaona hawakufai baada ya muda mfupi, ni kwa sababu hawana vigezo unavyovitaka, kwa asilimia mia. Inawezekana wanafikia 90%. Kwa taarifa yako mwenye 100% ya vigezo uvitakavyo ni wewe na Mungu pekee.. Hivyo labda ujioe mwenyewe au ukamuowe Mungu....Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?