Tatizo langu ni nini?

Tatizo langu ni nini?

Najua humu ndani kuna watu wa aina nyingi sana.wapo wanaoweza kunisaidia tatizo langu.na wapo wanaptweza kudharau na kunikebeh
Umri wangu ni miaka 29 sasa.kila nikipata mwanamke nikikaa naye sana ni miezi miwili.naanza kumwona hanifai.na sio kwamba nado nao hapana.tukiwa tu ktk mahusiano.
JE TATIZO LANGU NO NINI HAPO?

Kama hujajua tatizo lako ni nini unataka tukushauri nini? Mimi naona huna tatizo lolote, we kula maisha tu, ukae na demu miaka kwani mkeo? ukifikisha miaka 45 au 50 ndo ujaribu kutulia kidogo angalau ukae na demu miezi sita.
 
inawezekana kabisa, wavulana walio karibu zaidi na mama zao au sistas, mama zao wanaweza wakawainfluence hata katika love relationship kwa kuwachagulia wapenzi. kila unayekuwa naye mama au dada anakwambia hakufai. Na wewe mvulana kwa kuwa akili zako zinakuwa kwenye vyupi za dada zako unakubaliana na upuuzi wa dada zako na hasa ikiwa dada zako/mama have had failed relationships/marriages wanakuwa na fikra kuwa mpenzi wako atafaidi/atakufaida na kwa kuwa wanakuown psychologically wanahisi kuwa watakupoteza ukiwa na mpenzi wako.

Nafikiri hapa pana ukweli fulani hivi.
Miaka ya nyuma niliwai kuwa na mpenzi ambaye tulikusudia kuwa mke na mme..wazazu wangu hawakutaka nimuoe yule binti kwa sababu kabila yaje na yangu ni tofaut.yule binti alipojua hayo akaolewa na mwanaume mwingine.japo alipenda sana kuishi nami.laknu baada ya hapo wote ninaowapata wazaz wangu hawajswai kuniingilua tena.maana sasa wako tayari nioe kabila yeyote.rangi yeyote na taifa lolote.lakini tatazo ni kama hilo nililowaambia
 
Back
Top Bottom