Tatizo langu napenda sana

Tatizo langu napenda sana

Hujawa wazi kwanini unaishia kulia??? Do you press the wrong button always?. Funguka tukuelewe
 
Hujawa wazi kwanini unaishia kulia??? Do you press the wrong button always?. Funguka tukuelewe

Napopenda Mimi kuhisi na Huyo mwenzangu na yy anapenda kumbe sivyo kabisa nachopata
 
Basi unakuwa sawasawa na ki wrong number hivyo hupaswi kulia zaid simama kaza mwendo chaguo lako bado
 
Napopenda Mimi kuhisi na Huyo mwenzangu na yy anapenda kumbe sivyo kabisa nachopata

Basi unakuwa sawasawa na ku wrong number hivyo hupaswi kulia zaid simama kaza mwendo chaguo lako bado
 
Napopenda sipendwi

Tungo iweke mabano, wa mjini si wakuja..
Elewa ni vigumu mno, vinyume kukaa pamoja...

Kama stereo na mono, kuelewana ni vioja....
Kula andazi aso meno (kibogoyo), mate tu yatamvuja.....
 
Mungu atasaidia naww utapendwa siku moja...unaowapenda wanakutumia ndio maana unaishia kulia
 
kwa ukwel hata mim n kama wewe.unaonaje tuunganishe haja z mioyo yetu tuwe kitu kimoja na kifo ndo kitutenganishe
 
Jipende wewe kwanza, acha kulia lia hapa kisa hupendwi
 
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende

Si umeshaujua udhaifu wako ni huo kabiliana kwanza na huo udhaifu kabla ya kupenda tena


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Udhaifu wangu ndio huo ndio maana naishia kulia, sasa cjui nisipende

umejimilikisha hilo unaloita tatizo lako. .! so ni ngumu kuliacha. .Em ongea na Mungu mulize kama hilo tatizo je ni sehemu ya nwili gani aliyokuumba mae? kama hakuna..girl u need to step up n start to walk away from it
 
Hilo sio tatizo hata kidogo, tatizo unapenda huku ukifikiria na wewe upendwe au unapenda destiny isiyo yako. Usiache kupenda, hilo sio tatizo. Tatizo laweza hata kuwa ni upande unaopenda upoje. Pia cultivate unconditional love. Ukiona kitu unakipenda na hakikupendi basi jua sio mali yako. The right one ambaye angepaswa kuwa na wewe ndiye mwenye uwezo wa kuona upendo wako kiundani zaidi ya wengine.

All we all need is Love.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom