Tatizo langu napenda sana

Tatizo langu napenda sana

Napopenda sipendwi
well what goes around comes around...........
Vilevile wewe wanaokupenda huwapendi...... Kwahio jifunze kuwapenda wanaokupenda (kama unaweza lakini sababu it takes time na uvumilivu) na wasiokupenda achana nao
 
Pole sana ila ndo mapenzi yalivyo maana unapenda pasipopendeka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom