masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
Hapo kwenye kupenda angalia na matatizo ya kiufundi...
ahahahahahhaweke benchi la ufundi hahaahahaah goodmorning
Hapo kwenye kupenda angalia na matatizo ya kiufundi...
Hilo sio tatizo hata kidogo, tatizo unapenda huku ukifikiria na wewe upendwe au unapenda destiny isiyo yako. Usiache kupenda, hilo sio tatizo. Tatizo laweza hata kuwa ni upande unaopenda upoje. Pia cultivate unconditional love. Ukiona kitu unakipenda na hakikupendi basi jua sio mali yako. The right one ambaye angepaswa kuwa na wewe ndiye mwenye uwezo wa kuona upendo wako kiundani zaidi ya wengine.
All we all need is Love.
ahahahahahhaweke benchi la ufundi hahaahahaah goodmorning
Napopenda Mimi kuhisi na Huyo mwenzangu na yy anapenda kumbe sivyo kabisa nachopata
Goodmorning...ha ha ha ukute benching la ufundi ndo shida
mtu gani kila siku analia yeye tu
Najipenda sana best yangu lakin kuna wakat huwa nataman kuwa na mtu wa kunisahaurisha haya mabonde ya moyo lakini siyo yeye kabisa kama vile haelewi what am feeling
Goodmorning...ha ha ha ukute benching la ufundi ndo shida
mtu gani kila siku analia yeye tu
Benchi la ufundi limepwaya..hahahahaa
aniweke mimi benchi la ufundi
Hahahaa tutajuaje km na wewe hutopwaya?
mimi fundi nikimkamata kaka yako mtasema nimemloga kumbe ni mambo ya benchi la kiufundi AM BIAAAD AT THAT MA'AM
dhana ya kupenda kwa dhati Ni nadharia tu besti, hasa ukishakuwa na mahusiano mengi. Sidhani huyu ndio wa kwanza,kwa hiyo we nyanyuka, futa vumbi uendelee na safari ya mapenzi. Yawezekana bado safari ni ndefu hadi kufikia ndoa
Heheee...naomba tu usikutane na mume wangu
nadharia Ni theory kwa kiingereza switliv!!!I swear Kiswahili ni kigumu.
Hiyo sentensi ya kwanza mi hoi.
What is nadharia?
ahhaahahhaha kwako nitafanya fair play nitampa ujuzi then nitamrudisha kwako
i lov u an everythin u got