Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo

wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya
kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.

Mkuu Jaribu kutumia Asali na Mdalasini kabla hujakutana na huyo Mpenzi wako Unywe hiyo Dawa Changanya unga wa Mdalasini na Asali Safi mbichi ya nyuki kijiko kikubwa cha kulia wali. tumia hiyo Dawa ikiwa bado haijakusaidia Nione mimi nihtaweza kukusaidia vizuri au soma hapa bonyeza
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3295579

ok! Thanx let me try it. But hiyo asali natumia pale tu napotaka kufanya kitendo hicho au natumia kama doz ili initibu jumla jumla? Pia nalamba au naipakaa ktk uume? Napata taabu kweli.
 
Nakushauri kwanza uende vituo vya afya ya uzazi, kwa wakina baba uone watakushauri vipi ila usikate tamaa hilo tatizo lina tibika kabisa, pia cheki na psychologists.
Katika hali kama hiyo jitahidi kufanya mazoezi na usijinyime katika maswala ya chakula japo pia jitahidi kuepuka vyakula vyenye mafuta sana, na haswa hawa kuku na mayai ya kisasa
 
Kama nimekuelewa vizuri, umesema huwa unasimamisha mara1 then unawahi kukojoa kabla hata mchezo haujaeleweka. Tatizo hapo liko kisaikolojia zaidi, na limekuwa linajijenga na kukua kila unapojaribu kufanya ngono. Nina hakika kinachokuathiri ni severe anxiety na na kutokujiamini kulikopitiliza kwamba wewe una upungufu wa nguvu za kiume. Kama shida ingekuwa katika nguvu za kiume, trust me usingeweza hata kudindisha mdogo wangu! Unachohitaji ni tukio moja la ukweli, la kukujenga kiakili na kukufanya ujiamini. You have to take your time, jiandae kwa foreplay ya kufa mtu, pia you have to relax body and mind wakati huo, and build up confidence. Ukiweza kufanya hivyo na kukaa kifuani japo kwa dk10 tu, itakupa massive boost in confidence na unaweza hata kwenda la pili.. Uwoga huo mdogo wangu, kipochi manyoya hakina meno! Jitahidi ukae humo, utaipenda!
 
okay! I'll try. But kuhusu kusimamisha kwangu tena imekuwa ni taabu maana hata nikitembea na she alfu fikra zangu zikianza kumjengea picha du huwa jamaa yupo fasta anasmama na kuninyima hata poz. Ila tatizo ni hapo tu napotaka nami nipate raha ya dunia matokeo yake naishia kuumia na kulia maan huwa napata taabu pale napo amua kuchukua mtoto then inanitokea hivyo. Ni kama mara saba sasa hadi nimeona nipate hata mawazo yenu wadau.
 
Assalam aleikhum,
ninamwenzangu mmoja anapenda kuuliza ikiwa mtu ana ugonjwa wa sukari anaweza kutumia asali na mdalasini, nawaombeni wenzangu mnijulishe nini cha kufanya.
 
Nini cha kufanya:

1. Unapoandika uzi,tittle iendane na content.
2. Asali ina sukari na mgonjwa wako ana excess sukari ukiongeza na asali itakuwaje ?
3. Mdalasini mi siujui.
4. Ushauri zaidi ataupata kule alikopimwa na kugundulika ana kisukari.
5.Elewa inatakiwa apimwe sukari mara kwa mara kujua kama imepanda,imeshuka au iko kawaida... Ni ugonjwa unaotaka uangalifu wa khali ya juu mpaka basi.
 
Pole sana, kwa hiyo uliwahi mbio ukijua linazungumziwa lile tatizo lako?
 
Pole sana, kwa hiyo uliwahi mbio ukijua linazungumziwa lile tatizo lako?

***
LOL... Nusu ya wanaume tz wanaupungufu wa nguvu za kiume. Wengi wanachukulia kuwa na watoto ni kwamba wako kamilifu. Kumbe yawezekana watoto walio nao sio wa kwao wamebambikiwa.
SOURCE: Utafiti MNH.

Tehe tehe tehe! Mkuu BB sijui jinsia yako,kama ni male jiangalie sana. Unaweza ukajiona mwanaume kumbe nawe wa kiume tu.
>Back to the topic am Clinician by proffessional, naingia humu zaidi kwa kujaribu kuchangia nikijuacho zaidi ya kujifunza. So mtu akikurupuka nampa za uso ajipange.
 
Assalam aleikhum,
ninamwenzangu mmoja anapenda kuuliza ikiwa mtu ana ugonjwa wa sukari anaweza kutumia asali na mdalasini, nawaombeni wenzangu mnijulishe nini cha kufanya.

kuna uhusiano gani kati ya asali,mdalasini na nguvu za kiume?

kijana kwanza nakupa pole kwa hali hiyo,pili huo sio ugonjwa.kama walivyosema wadau ni suala la siokoloji.hivyo jitahidi kuwa makini unapo kuwa katika suala zima la ........,and thenk kwa ushauri wangu nadhani jitahidi kufanya mazoezi,fanya asali yako kuwa ndio sukari yako unapokunywa chai,asali iliykuwa mbichi ambayo imelimwa maeneo ambayo hawalimi tumbaku.pia uwe unatumia habbat sauda,unga wa tangawizi,na unga wa swaumu(kitunguu) mdarasini ukichanganya kwenye maji ya moto unywe kama chai,kwa kila mara,atleast kila wiki mra tatu.ila Asali ndi uwe naramba sana kila siku.i hope kwa hayo utakuwa salama
 
hauna impotence....unapata erection,,tatizo lako kitaalamu linaitwa premature ejaculation.....Mara nyingi ni psychological..linatibika.....unahitaji special training.Dr.dee
 
kwasababu hili ni tatizo la kisaikolojia jaribu kutumia affirmation. Jiandikie maneno yakukupa confidence kwenye karatasi mfano "Ninaweza kumfurahisha dada yeyote kimapenzi". Andika haya maneno mara 100 huku ukiyasema, pia unaweza kuyasema kimoyo moyo hata kama upo kwenye daladala. Baada ya muda, subconciously utaanza kujiamini na tatizo lako litaisha.

Wote katika maisha yetu tuliwahi kufanya affirmation mfano tukiwa wadogo wakati tunajifunza kuongea tulirudiarudia mpaka tukaweza kuongea vizuri na hata wakati tunajifunza kuandika tulifanya hivyo hivyo. Hii inaitwa modeling katika Neuro Linguistic Programming (NLP). Sasa wewe unatakiwa ku-model yule mtu unayetaka kuwa (rijali) kwa kurudia rudia kusema maneno.
 
mpendwa,

nimesikitika sana kuona umeanza mapenzi mapema sana na tena ukiwa ungali shuleni. na kwa bahati mbaya mapenzi hayo yamekuchanganya na hivyo umechanganyikiwa mapema pia! madhara yatakayokukuta ni pamoja na kuvuruga mipango mingine ya maisha yako kwa kuwa maamuzi yako mengi yataathiriwa na msongo utokanao na tatizo lako hili. halikadhalika, self esteem yako itaathirika sana na huenda hata ukajichukuia mwenyewe! kuamua kuachana kabisa na mapenzi hadi utakapokuwa katika nafasi ya kuoa ndio uamuzi mzuri zaidi ulio mbele yako kwa sasa. nawe una hiyari ya kuuchukua au kuuacha, lakini Mungu anapenda uuchukue na bila shaka atakubariki zaidi na kukupa tumaini tele la furaha ya maisha kwa siku zako zote utakazojaliwa kuishi hapa chini ya jua!

pamoja na ushauri huu, nina ushauri mwingine kwako kutokana na tatizo lako;

kwa mujibu wa maelezo yako, inaonekana tatizo lako si la kisaikolojia pekee bali pia una tatizo la upungufu wa vitamin na madini aina tofauti mwilini na umeishi na upungufu huu kwa muda mrefu sana. naomba unipe majibu ya maswali yafuatayo niuweze kukushauri zaidi:

katika kipindi cha miaka 10 iliyopita;

1.
ni magonjwa gani yanayokusumbua mara kwa mara?
2.
unapatwa na maralia mara ngapi kwa mwaka? na unatibiwa hadi kupona kabisa? (hapa ni kama aunaishi kwenye endemic zone mfano mikoa ya pwani ya Tanzania)
3.
umewahi kupata ugonjwa wa kawaida tu (mfano mafua, kuumwa kichwa, bacterial/fungal infection nk) na ukachukua muda mrefu (isivyo kawaida) kupona licha ya kupata tiba sahihi? (hapa nitajie ugunjwa, tiba uliyopata na muda uliochukua kupona)
4.
kwa kuwa umesema unashiriki sex mara chache, je unapata njozi nyevu (nocturnal emissions) wastani wa mara ngapi kwa mwezi?
(hapa nachukulia kuwa hujihusishi na kujichua au masturbation, kama unafanya hayo, yasitishe kwa angalau mwezi mmoja kisha nijulishe umepata njozi nyevu mara ngapi kwa mwezi huo ili nikupe ushauri mzuri zaidi)

4. je, hizo mara chache ulizofanya mapenzi, manii (shahawa) zilikuwaje (nzito/nyepesi) na zilikuwa na rangi gani (nyeupe/cream/brown), na ujazo wake ni kama cubic centimeter (cc) ngapi kwa kukadiria?

5.
je, una mazoea ya kutumia madawa ya usingizi, mafua/kikohozi na pumu nk (mfano, Valium, ephedrine) mara kwa mara?

6.
unapozitazama sehemu za mwili wa msichana zinazokuvutia (mfano hips), inakuchukua muda gani kusahau? (hapa inahusika na wasichana wale mnaopishana tu barabarani na ambao hamfahamiani kibinafsi)

naishia hapa kwa sasa, nikipata majibu ya haya maswali nitakujia tena kwa ushauri zaidi.

ila ondoa hofu kabisa, tatizo lako linatibika na mbali na matibabu ya kisaikolojia, nitapendekeza pia utumie vitamin na madini aina kadha wa kadha. ila uamuzi mzuri kwa sasa ni kuachana kabisa na kuyachochea mapenzi hadi wakati wake utakapofika.

nakusubiri mpendwa,

pole na Mungu akubariki sana,

Glory to God!
 
Una tatizo la panic ambayo inaleta hofu na kufanya uwe mwoga. Katika hali kama hii ni vigumu mzunguko wa damu kuelekea kwenye ume wako kustabilize kwa sababu adrenaline inakuwa inatibua. Jenga mazoea ya kucheza na jamaa yako kwa muda mrefu ukiwa katika hali yako ya kawaida (bila kuvua nguo) ili umzoee. Jenga mazoea kuwa unamtoa out, kumkumbatia mara kwa mara na kuwa unaongea naye na hata hiyo hali yako muelezee. Ondoa hofu kabisa bro kitu kitapanda na kutulia.
 
ok! Thanx let me try it. But hiyo asali natumia pale tu napotaka kufanya kitendo hicho au natumia kama doz ili initibu jumla jumla? Pia nalamba au naipakaa ktk uume? Napata taabu kweli.
Ukitumia kama dozi pia itakuwa ni vizuri zaidi uongeze na kula matango pamoja asali,mdalasini na matango fanya kuwa dozi kutwa mara 3 Asubuhi,mchana na usiku kwa muda wa miezi 3 utaona mafanikio la kama unataka Dawa yenyewe yenye nguvu zaidi kuliko hiyo uwasiliane na mimi au bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3295579
 
Ukosefu wa nguvu za kiume [Uhanithi]{IMPOTENCE}
Asali ina historia ndefu ya kuamsha uume pamoja na kuwa dawa madhubuti ya kuponyesha uhanithi.

Kutokana na uwezo wake kama kiamshaji/chaji, asali ilipigwa marufuku kwa makasisi katika baadhi ya
dini za kimashariki mwa Dunia. Mwaka jana, watafiti wa kiaustralia waligundua kwamba asali ina uwezo

wa kupeleka mwili kutoa homoni mbalimbali kama ilivyo kwa mdalasini, katika Africa na dunia ya
kusini, mabaharia wamekuwa wakipaka asali katika sehemu zao za nje ya uume ili kuongeza stamina zao
za kufanya mapenzi.

Mkuu Jaribu kutumia Asali na Mdalasini kabla hujakutana na huyo Mpenzi wako Unywe hiyo Dawa Changanya unga wa Mdalasini na Asali Safi mbichi ya nyuki kijiko kikubwa cha kulia wali. tumia hiyo Dawa ikiwa bado haijakusaidia Nione mimi nihtaweza kukusaidia vizuri au soma hapa bonyeza
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawaza-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html#post3295579

Mkuu,

dogo hana tatizo la nguvu ana tatizo kichwani, anxiety na hiyo tiba yake sijui tuanzie wapi
counselling, but i usually think kanselaz wanakula tu pesa za watu
labda atafute jimama moja limuondolee anxiety.... au kama kuna clinics za kusaidia lakini isiwe ile formal kanseling ya mgonjwa na kansela
 
Back
Top Bottom