Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
toa summary!
Hapa ndo maana mi iwa nakuwa namiliki mizigo tofauti tofauti nina kiportable,bonge, namba 8 mwenye mfadhaiko, mrefu alafu nakuwa na short chesesi kisha nakuwa na white mwembamba kama wa pale Singida alafu na kuwa na kitu black cha tukuyu mwakareli. Kwa hiyo najinafasi mwenyewe unafanya cycle tu raha jipe mwenyewe.
WOS sitaki kipapatio mie nataka paja mie mambo ya mwambao hayo.
ndo manake bibie mashine ikiwa mbovu hailipi kwa mzunguko wa pili dadake.....mtu hata ile ya kwanza anaogelea weee ndio hiop akimaliza kama iliyokutokea akimaliza anasingizia kachoka...
...tiba: zingatieni vyakula vya kufanya mashine iwe mwake.....fanyeni mazoezi ya kubana misuli ya kule kama ukitaka kujua yanavyofanyika uliza....
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?
kujichua ndio kupiga punyeto au!

Jadilianeni, lakini mkumbuke taifa letu ni changa na ujenzi wa taifa unawasubiria..lol
Kwa nini wanaume wengine ni shughuli kurudia sex baada ya bao la kwanza?