Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,350
- 11,213
Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi.
Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita alivyojiawekea.Hiyo ina maana hatarishi kwa nchi na usalama wa anayeongoza nchi kwa muda huo.
Tangu baada ya miezi minne ya vita mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo wafadhili wakubwa wa Israel wameiambia Israel kwamba ameua sana na inatosha kufikia hapo.
Mataifa hayo na yale ya kinafiki ya mashariki ya kati wote wamesema kinachotakiwa ni kumaliza vita na kuundwa kwa taifa la Palestina ili vita visiingie hatua mbaya zaidi na kwa ajili ya usalama wa siku za mbele kwa Israel yenyewe.
Ni Benjamin Netanyahu peke yake na wahafidhina wachache kwenye Likud ambao wamepinga wazo hilo.
Mara zote amaesikika akisema kusitisha vita au kutoendelea kushambulia pamoja na kukubali kuundwa kwa taifa la Palestina ni kama kutoa zawadi kwa Hamas ambao walishambulia oktoba 7 mwaka 2023 na kuua watu 1250.Idadi hiyo ya watu hajona kuwa ni ndogo kuliko ya wapalestina waliouliwa na wenzake huko nyuma au wale ambao ameshaua tangu mwaka jana.
Kupewa zawadi Hamas ndio tatizo la Netanyahu.Lakini hiyo ni roho mbaya na uchoyo wa kibinadamu ambao kila mtu anatakiwa ajiepushe nao.
Mtu anayetakiwa au anayesthahiki kupewa zawadi au chochote kile basi usimzuie kwa maslahi yako binafsi.Wacha apewe haki yake.
Mwenyezi Mungu akitaka kumpa mja wake kitu uifanye juhudi kuizuia haki hiyo.Mwisho wake utaumbuka tu kwani huwezi kupingana na mipango ya Mungu