Naombeni msaada kuhusu hili tatizo la kupata AVN

Burapaa

Member
Feb 24, 2023
31
24
Nina shida kwenye status ya nacte ambapo inasoma “Technician certificate” yaani diploma one, nilifanya mpango nikafika kwenye ofisi zao wakaniambia tatizo ni kwenye semister one ambayo ipo pending kuna masomo mawili ambayo nilifeli wakaniambia nirud chuoni matokeo ambayo ni tofauti na yanayosomek kweny account yangu ya chuo.

Chuoni wakaangalia wakaniambia ni kweli walikosea kuyaprocess matokeo, chuo kimechukua tu details zangu wameniambia nisubiri baada ya wiki mbili. Nashindwa sijui hat nifanyeje maan dirisha la vyuo linafungwa hivi karibuni, nilikuwa naomba kama kuna mtu mwenye mbadala au utatuzi anisaidie.
 
Back
Top Bottom