Tatizo la maji, Itungwe Sheria kila Mtu awe na mti aliopanda

... nikipanda miti miwili mitatu ya kivuli hapa nje kwangu at the same time wachoma mikaa, warina asali, wafugaji, n.k wanateketeza maelfu ya ekari ya miti asilia kwa siku sidha kama itasaidia sana kupambana na hili janga.

Serikali iweke plan nzuri ya ardhi na maliasili hususan misitu ya asili. Atakayekamatwa anateketeza misitu iingie kwenye kosa la uhujumu uchumi! Ila hilo sio sahihi kufanyika wakati wananchi hawana option - mfano nishati. Shusha bei ya gas to affordable prices; I tell you wala huhitaji kutunga sheria ya ku-criminlze mkaa; wananchi wenyewe wataachana nao.
Uko sahihi dudus ,wewe ukipanda miti umetimiza wajibu wako, na mimi nikipanda miti nimetimiza wajibu wangu na yule naye akipanda miti atakuwa ametimiza wajibu wake wa kupambana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. Serikali kwa nafasi yake inaendelea kuchukua hatua stahiki kupambana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.
Kuhusu kushusha bei ya gesi -bei huwa zinaamuliwa na soko (demand and supply), serikali kama itaamua kushusha maana yake itoe ruzuku katika gesi, jambo hili linahitaji fedha, mikakati na mazingira lazima yawekwe sio jambo la siku moja. Muhimu ni kila mtu kuona kuna umuhimu wa kupambana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
 
... tulipofikia, suala la mazingira ni almost linaelekea kuwa janga; na suala linapokuwa janga serikali ni lazima iweke mpango mathubuti wa kupambana nalo - kuliachia soko liamue wakati wa majanga nadhani sio sahihi.

Na gas nayozungumzia mimi sio hiyo inayoagizwa kutoka nje ya nchi - hiyo liachiwe soko liamue. Mimi nazungumzia gas inayozalishwa nchini mwetu ambayo serikali ili kupamba na hili janga iwe na control nayo - siasa ziwekwe pembeni ili itusaidie kutuvusha kwenye hili janga la kimazingira.
 
Kupanda miti mpaka muambiwe
Vijana/watoto wa sahv kutoboa pua
Kukatika mauno,vichwa vimejaa maudaku fleva miti watapanda muda
Gani

Ova
 
Mito haitiririshi maji kama miaka ya 80 na kwenda nyuma sababu ya shughuli za binadamu.

Miti haikui haraka kama maharage inachukuwa miaka mingi.Miaka ya hivi karibuni imekatwa miti MILIONI SITA kupisha ujenzi wa bwawa la Nyerere linalotegemea mvua kujaza mito hiyo.Je imepandwa miti kiasi gani kwenye vianzio vya mto Rufiji maeneo ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Pwani,na Lindi?

Sababu kubwa ya uharibifu wa misitu ukiacha matumizi ya kawaida ya kuni na mkaa ni mifugo kuharibu vyanzo vya maji.
Wimbi la wakimbizi kukata miti ovyo Pammoja na ukulima kwenye kingo za mito.
 
FAIDA YA KUPANDA MITI NA KUITUNZA

Kijiji Lufilyo, Busokelo
Wilaya ya Rungwe
Mkoani Mbeya, Tanzania

HAYA NDO MAENO YA KIJIJI CHA LUFILYO

Kwa wale ambao hamjafika Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania na hakika picha hii itawapa nini maana ya kampeni ya kuhifadhi miti na mazingira inavyozingatiwa kijijini Lufilyo, Busokelo, Wilaya ya Rungwe na kampeni inavyoweza kupokewa ktk maeneo yote ya Tanzania.

Kazi ya Prof. Mwandosya hiyo na hapo ni kwake pana mandhari na hali ya hewa safi kabisa
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa zinakosa mvua kwa kipindi cha mwaka mzima au zaidi.

Kwa namna shughuli za binadamu zinavyoongezeka, hali ya mabadiliko ya tabia ya nchi inazidi kuwa mbaya saana, uwezekano mkubwa saana baada ya miaka 10-20 kiwango cha upatikanaji wa mvua kikawa kidogo saana kuweza kutosheleza mahitaji ya binadamu kama jitihada za makusudi na kweli hazitachukuliwa.

Miaka 40 nyuma, mito mingi inayopatikana Tanzania ilikuwa inatiririka mwaka mzima, lakini kwa sasa imebaki mabonde tu yasiyo na maji hata kipindi cha mvua, tatizo ni kubwa na kadri siku zinavyokwenda tatizo linaongezeka.

Ili kupambana na athari zinazotokana na madiliko ya tabia ya nchi na kupelekea kukosekana kwa mvua ni muhimu saana ikatungwa sheria inayolazimisha upandaji wa miti kwa hapa Tanzania.

Pamoja na juhudi nzuri zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mh Samia Suluhu Hassan, yafuatayo yanaweza kufanyika-:
1. Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 (Mwenye ajira ya kudumu) apande miti mitano kila mwaka, hili linawezekana.
2. Halmashauri zote ziweke mkakati wa kuwa na Shamba la miti, haijalishi ni ndani ya eneo lao au nje ya eneo lao kiutawala- Hii itakuwa pia chanzo cha Mapato kwa Halmashauri.
3. Shule zote (Msingi na Sekondari) ziwe na Shamba la mti, kila mwanafunzi awe na mti anaouhudumia (Zile za mjini ambazo hazina maeneo utaratibu uandaliwe kwa kupanda miti hapo shuleni tu)-Walimu Wakuu na MEK wapimwe kwa kuweza kusimamia hili.
4. Ofisi zote za Umma, kuanzia ofisi za Serikali za Mtaa, Kijiji, Kata e.t.c kila Mtumishi wa eneo hilo awe na mti anao uhudumia, kusiwepo na ofisi ya Umma isiyo na miti.
5. Serikali iwezeshe kitengo cha Mazingira katika Halmashauri, Maafisa Mazingira wa Halmashauri wapimwe kwa namna wanavyosimamia upandaji wa miti mipya.
6. Kila kibali cha ujenzi kinachotolewa kiwe na mkakati wa upandaji miti.

Tanzania ni yetu, tupande miti kwa kizazi cha leo na kesho

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
KWANI IMEKWISHABAINIKA KUWA TATIZO LA MAJI NI MITI KUTOKUPANDWA?
 
Chanzo kikubwa cha maji yanayotumika nyumbani au viwandani ni Mito, mito mingi imekauka au kupungua ujazo wa maji kutokana na upungufu wa mvua. MITI NI CHANZO CHA MVUA
 
Mito haitiririshi maji kama miaka ya 80 na kwenda nyuma sababu ya shughuli za binadamu.

Miti haikui haraka kama maharage inachukuwa miaka mingi.Miaka ya hivi karibuni imekatwa miti MILIONI SITA kupisha ujenzi wa bwawa la Nyerere linalotegemea mvua kujaza mito hiyo.Je imepandwa miti kiasi gani kwenye vianzio vya mto Rufiji maeneo ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Pwani,na Lindi?

Sababu kubwa ya uharibifu wa misitu ukiacha matumizi ya kawaida ya kuni na mkaa ni mifugo kuharibu vyanzo vya maji.
Wimbi la wakimbizi kukata miti ovyo Pammoja na ukulima kwenye kingo za mito.
Ndio maana kuna umuhimu wa kuchukua hatua, ni kweli miti haikui haraka kama maharage, lakini ukipanda miti sasa itakuwa ni faida hata kwa kizazi chako cha baadaye, miti unayoiona hii kuna watu waliipanda, hata iliyoota yenyewe kuna watu waliilinda.
Kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi na Kijamii ni jambo lipo, lakini Serikali inachukua hatua, kwa nafasi ya kila mtu mmoja mmoja atimize wajibu kukabilina na tatizo la mabadiliko ya tabia ya nchi ikiwa ni pamoja na kupanda miti, kuacha kata miti bila sababu etc
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa zinakosa mvua kwa kipindi cha mwaka mzima au zaidi.

Kwa namna shughuli za binadamu zinavyoongezeka, hali ya mabadiliko ya tabia ya nchi inazidi kuwa mbaya saana, uwezekano mkubwa saana baada ya miaka 10-20 kiwango cha upatikanaji wa mvua kikawa kidogo saana kuweza kutosheleza mahitaji ya binadamu kama jitihada za makusudi na kweli hazitachukuliwa.

Miaka 40 nyuma, mito mingi inayopatikana Tanzania ilikuwa inatiririka mwaka mzima, lakini kwa sasa imebaki mabonde tu yasiyo na maji hata kipindi cha mvua, tatizo ni kubwa na kadri siku zinavyokwenda tatizo linaongezeka.

Ili kupambana na athari zinazotokana na madiliko ya tabia ya nchi na kupelekea kukosekana kwa mvua ni muhimu saana ikatungwa sheria inayolazimisha upandaji wa miti kwa hapa Tanzania.

Pamoja na juhudi nzuri zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mh Samia Suluhu Hassan, yafuatayo yanaweza kufanyika-:
1. Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 (Mwenye ajira ya kudumu) apande miti mitano kila mwaka, hili linawezekana.
2. Halmashauri zote ziweke mkakati wa kuwa na Shamba la miti, haijalishi ni ndani ya eneo lao au nje ya eneo lao kiutawala- Hii itakuwa pia chanzo cha Mapato kwa Halmashauri.
3. Shule zote (Msingi na Sekondari) ziwe na Shamba la mti, kila mwanafunzi awe na mti anaouhudumia (Zile za mjini ambazo hazina maeneo utaratibu uandaliwe kwa kupanda miti hapo shuleni tu)-Walimu Wakuu na MEK wapimwe kwa kuweza kusimamia hili.
4. Ofisi zote za Umma, kuanzia ofisi za Serikali za Mtaa, Kijiji, Kata e.t.c kila Mtumishi wa eneo hilo awe na mti anao uhudumia, kusiwepo na ofisi ya Umma isiyo na miti.
5. Serikali iwezeshe kitengo cha Mazingira katika Halmashauri, Maafisa Mazingira wa Halmashauri wapimwe kwa namna wanavyosimamia upandaji wa miti mipya.
6. Kila kibali cha ujenzi kinachotolewa kiwe na mkakati wa upandaji miti.

Tanzania ni yetu, tupande miti kwa kizazi cha leo na kesho

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
wewe unaamini kama maji yamepungua?
 
  1. Misitu yote ya hifadhi wakabidhiwe JW kwakuwa Maliasili wameshindwa kudhibiti ukataji hovyo wa miti na wanashirikiana na wachoma mkaa kujineemesha
  2. Zinunuliwe drones za kutosha kufanya doria nchi nzima ili kudhibiti ukataji wa miti kiholela
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa zinakosa mvua kwa kipindi cha mwaka mzima au zaidi.

Kwa namna shughuli za binadamu zinavyoongezeka, hali ya mabadiliko ya tabia ya nchi inazidi kuwa mbaya saana, uwezekano mkubwa saana baada ya miaka 10-20 kiwango cha upatikanaji wa mvua kikawa kidogo saana kuweza kutosheleza mahitaji ya binadamu kama jitihada za makusudi na kweli hazitachukuliwa.

Miaka 40 nyuma, mito mingi inayopatikana Tanzania ilikuwa inatiririka mwaka mzima, lakini kwa sasa imebaki mabonde tu yasiyo na maji hata kipindi cha mvua, tatizo ni kubwa na kadri siku zinavyokwenda tatizo linaongezeka.

Ili kupambana na athari zinazotokana na madiliko ya tabia ya nchi na kupelekea kukosekana kwa mvua ni muhimu saana ikatungwa sheria inayolazimisha upandaji wa miti kwa hapa Tanzania.

Pamoja na juhudi nzuri zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mh Samia Suluhu Hassan, yafuatayo yanaweza kufanyika-:
1. Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 (Mwenye ajira ya kudumu) apande miti mitano kila mwaka, hili linawezekana.
2. Halmashauri zote ziweke mkakati wa kuwa na Shamba la miti, haijalishi ni ndani ya eneo lao au nje ya eneo lao kiutawala- Hii itakuwa pia chanzo cha Mapato kwa Halmashauri.
3. Shule zote (Msingi na Sekondari) ziwe na Shamba la mti, kila mwanafunzi awe na mti anaouhudumia (Zile za mjini ambazo hazina maeneo utaratibu uandaliwe kwa kupanda miti hapo shuleni tu)-Walimu Wakuu na MEK wapimwe kwa kuweza kusimamia hili.
4. Ofisi zote za Umma, kuanzia ofisi za Serikali za Mtaa, Kijiji, Kata e.t.c kila Mtumishi wa eneo hilo awe na mti anao uhudumia, kusiwepo na ofisi ya Umma isiyo na miti.
5. Serikali iwezeshe kitengo cha Mazingira katika Halmashauri, Maafisa Mazingira wa Halmashauri wapimwe kwa namna wanavyosimamia upandaji wa miti mipya.
6. Kila kibali cha ujenzi kinachotolewa kiwe na mkakati wa upandaji miti.

Tanzania ni yetu, tupande miti kwa kizazi cha leo na kesho

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Bado umepanga au unaishi kwa Mme wa dada yako,kupanda mti mpaka utungiwe sheria😳😳😳😳
 
Ndio maana kuna umuhimu wa kuchukua hatua, ni kweli miti haikui haraka kama maharage, lakini ukipanda miti sasa itakuwa ni faida hata kwa kizazi chako cha baadaye, miti unayoiona hii kuna watu waliipanda, hata iliyoota yenyewe kuna watu waliilinda.
Kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi na Kijamii ni jambo lipo, lakini Serikali inachukua hatua, kwa nafasi ya kila mtu mmoja mmoja atimize wajibu kukabilina na tatizo la mabadiliko ya tabia ya nchi ikiwa ni pamoja na kupanda miti, kuacha kata miti bila sababu etc
Mkuu upo sahihi,ni jukumu la kila mmoja wetu kulinda miti yetu.

Lakini baadhi ardhi ya nchi yetu yaani udongo umebakwa hauna tena nguvu ya kujenga soil structures,na hiyo ni vita kubwa kuliko hata vita ya Kagera.

Watawala wetu hawajiulizi kulikoni bila kutumia inorganic fertilizer mazao hayastawi vizuri,na hiyo fertilizer inatoka nchi za nje kwa gharama kubwa,ikichangia kuuwa ardhi yetu.
Imesababisha udongo kuwa na mapungufu makubwa ya microbes kama bacteria fungi,Namatodes na protozoa.Ambayo hizo zinatengeneza uoto wa asili kwa mimea yetu ikiwepo miti.
Kibaya zaidi mazao yenye kutumia hiyo inorganic fertilizer mengi yao yamepigwa marufuku kuuzwa nchi za ulaya,marekani n.k
Kwa hiyo sisi tumebakia na ardhi isiyo na afya.

Vile vile ukataji miti kwa wingi husababisha umomonyoko wa udongo, na kupoteza top soil yenye virutubisho hivyo.
Ni wazi udongo wa maeneo mengi ya nchi kwa sasa yamebakia na virutubisha udongo vichahe,yaani microbes kidogo.
Sia hayo tu matumizi ya inorganic fertilizer na kupulizia mazao yetu na inorganic biocide yamechangia kiasi kikubwa kuuwa microbes.

Bado hatuchelewa ziko njia za kurudisha hivyo vi microbes kwenye udongo kwa kuzingatia kilimo chenye kuhifadhi mazingira.
 
Ni kweli kabisa mkuu sblandes hatua za makusudi lazima zichukuliwe
 
Back
Top Bottom