Tatizo la maji, Itungwe Sheria kila Mtu awe na mti aliopanda

FB_IMG_16655513857655425.jpg

Xmas imekaribia
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa zinakosa mvua kwa kipindi cha mwaka mzima au zaidi.

Kwa namna shughuli za binadamu zinavyoongezeka, hali ya mabadiliko ya tabia ya nchi inazidi kuwa mbaya saana, uwezekano mkubwa saana baada ya miaka 10-20 kiwango cha upatikanaji wa mvua kikawa kidogo saana kuweza kutosheleza mahitaji ya binadamu kama jitihada za makusudi na kweli hazitachukuliwa.

Miaka 40 nyuma, mito mingi inayopatikana Tanzania ilikuwa inatiririka mwaka mzima, lakini kwa sasa imebaki mabonde tu yasiyo na maji hata kipindi cha mvua, tatizo ni kubwa na kadri siku zinavyokwenda tatizo linaongezeka.

Ili kupambana na athari zinazotokana na madiliko ya tabia ya nchi na kupelekea kukosekana kwa mvua ni muhimu saana ikatungwa sheria inayolazimisha upandaji wa miti kwa hapa Tanzania.

Pamoja na juhudi nzuri zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mh Samia Suluhu Hassan, yafuatayo yanaweza kufanyika-:
1. Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 (Mwenye ajira ya kudumu) apande miti mitano kila mwaka, hili linawezekana.
2. Halmashauri zote ziweke mkakati wa kuwa na Shamba la miti, haijalishi ni ndani ya eneo lao au nje ya eneo lao kiutawala- Hii itakuwa pia chanzo cha Mapato kwa Halmashauri.
3. Shule zote (Msingi na Sekondari) ziwe na Shamba la mti, kila mwanafunzi awe na mti anaouhudumia (Zile za mjini ambazo hazina maeneo utaratibu uandaliwe kwa kupanda miti hapo shuleni tu)-Walimu Wakuu na MEK wapimwe kwa kuweza kusimamia hili.
4. Ofisi zote za Umma, kuanzia ofisi za Serikali za Mtaa, Kijiji, Kata e.t.c kila Mtumishi wa eneo hilo awe na mti anao uhudumia, kusiwepo na ofisi ya Umma isiyo na miti.
5. Serikali iwezeshe kitengo cha Mazingira katika Halmashauri, Maafisa Mazingira wa Halmashauri wapimwe kwa namna wanavyosimamia upandaji wa miti mipya.
6. Kila kibali cha ujenzi kinachotolewa kiwe na mkakati wa upandaji miti.

Tanzania ni yetu, tupande miti kwa kizazi cha leo na kesho

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Mi naishi huku juu gorofa ya 6.
 
Kipindi ya mzee wa msoga, miti ilikuwa inakatwa huko Meru balaaa, unapishana na malori ya magogo hapo Namanga yakienda Kenya kila kukicha....siku hizi hapo Meru hamna kitu, hata magogo biashara imeisha. mito iliyokuwa inapitisha maji safi kibao hapo Arusha mingi imekauka...
 
Mabadiliko ya tabia ya nchi ni tatizo la dunia, kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na athari nyingi ikiwa ni pamoja na ukame unaokumba nchi nyingi duniani. Baadhi ya nchi kwa sasa zinakosa mvua kwa kipindi cha mwaka mzima au zaidi.

Kwa namna shughuli za binadamu zinavyoongezeka, hali ya mabadiliko ya tabia ya nchi inazidi kuwa mbaya saana, uwezekano mkubwa saana baada ya miaka 10-20 kiwango cha upatikanaji wa mvua kikawa kidogo saana kuweza kutosheleza mahitaji ya binadamu kama jitihada za makusudi na kweli hazitachukuliwa.

Miaka 40 nyuma, mito mingi inayopatikana Tanzania ilikuwa inatiririka mwaka mzima, lakini kwa sasa imebaki mabonde tu yasiyo na maji hata kipindi cha mvua, tatizo ni kubwa na kadri siku zinavyokwenda tatizo linaongezeka.

Ili kupambana na athari zinazotokana na madiliko ya tabia ya nchi na kupelekea kukosekana kwa mvua ni muhimu saana ikatungwa sheria inayolazimisha upandaji wa miti kwa hapa Tanzania.

Pamoja na juhudi nzuri zinazochukuliwa na Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mh Samia Suluhu Hassan, yafuatayo yanaweza kufanyika-:
1. Kila Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 (Mwenye ajira ya kudumu) apande miti mitano kila mwaka, hili linawezekana.
2. Halmashauri zote ziweke mkakati wa kuwa na Shamba la miti, haijalishi ni ndani ya eneo lao au nje ya eneo lao kiutawala- Hii itakuwa pia chanzo cha Mapato kwa Halmashauri.
3. Shule zote (Msingi na Sekondari) ziwe na Shamba la mti, kila mwanafunzi awe na mti anaouhudumia (Zile za mjini ambazo hazina maeneo utaratibu uandaliwe kwa kupanda miti hapo shuleni tu)-Walimu Wakuu na MEK wapimwe kwa kuweza kusimamia hili.
4. Ofisi zote za Umma, kuanzia ofisi za Serikali za Mtaa, Kijiji, Kata e.t.c kila Mtumishi wa eneo hilo awe na mti anao uhudumia, kusiwepo na ofisi ya Umma isiyo na miti.
5. Serikali iwezeshe kitengo cha Mazingira katika Halmashauri, Maafisa Mazingira wa Halmashauri wapimwe kwa namna wanavyosimamia upandaji wa miti mipya.
6. Kila kibali cha ujenzi kinachotolewa kiwe na mkakati wa upandaji miti.

Tanzania ni yetu, tupande miti kwa kizazi cha leo na kesho

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Yote uliyoyaorodhesha yapo kwenye mipango katika utekelezaji.Kinachotakiwa ni usimamizi,uangalizi na ufuatiliaji wenye kuleta tija.
 
Karibia 40% ya nchi inakaliwa na wafugaji wa kuhamahama.
Hebu waambie kitu hicho cha miti wasukuma toka Shinyang ambao sasa wako Ihefu na mikoa ya kusini.
Na vile vile waambie hilo wamasai wanaotangatanga na mifugo toka Arusha na saa wanasumbua sana mikoa ya Tanga, Morogoro na Pwani.
Simply uncontrollable.
 
25 Oktoba 2022​

Wakaazi wa I kanda ruksa kuishi eneo la hifadhi ya msitu wa Ileje Range

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wananchi wa kitongoji cha Ikanka kijiji cha Itumba Wilaya ya Ileje kuendelea kuishi sehemu ya eneo la hifadhi ya msitu wa Ileje Range mkoani Songwe. Uamuzi huo unakifanya kitongoji cha Nkanka sasa kutambuliwe ndani ya hifadhi ya msitu wa Ileje Range kutokana na idadi ya kaya 105 zenye makazi zilizopo ndani ya eneo. Aidha, uamuzi huo pia umegusia mgogoro wa matumizi ya ardhi katika hifadhi za msitu wa Mugombezi uliopo kijiji cha Nyimbili katika kata ya Mlowo, Ilengo Mbozi mkoani Songwe.
 
Botanist na waikojia mukuye huku...

Kupanda miti siò solution......solution ni kurudisha uoto wa asili kulingana na vegetation geographical distinction
 
“Kando kabisa ya Machame Gate, Mlango unaotumika kupanda katika mlima mrefu barani Afrika ndipo ulipo mji ( makazi) ya Mzee wetu kipenzi Dkt. Reginald Mengi. Dkt. Reginald Mengi Akiwa na wasifu wa kuwa mdau wa utunzaji wa Mazingira aliwahi pia kushiriki kampeni ya #MtiWangukampeni inayosimamiwa na E-fm.

Ukitazama mandhali ya Makazi yake ya hapa Machame utakubaliana nasi kuwa mzee wetu alikuwa mdau wa Mazingira ya asili”
read an update from E-fm.
Reginald Mengi's private Mansion in Machame, Kilimanjaro

N.B
KAMPENI HII YA KUPANDA MITI
Watanzania wafahamishwe kuwa upandaji miti vijijini na mijini ni suala la utashi halihitaji utajiri kupanda miti miwili mpaka mitano ktk eneo unaloishi au kulimiliki.
 
Back
Top Bottom