Nitafute nipate kukutibia unayo maradhi ya mdomo aka (halitosis).Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupona.Ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya na mnapambana kulijenga taifa kwa wagonjwa, majeruhi na waliopata majanga au matatizo mbalimbali poleni sana Mungu yuko pamoja nanyi.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada ndugu wanajf nimekuwa na tatizo la kunuka kinywa hasa kwa mwaka huu imefikia hatua hadi mpenzi wangu na rafiki zangu wakaribu na wenye mapenzi mema wameniambia kuhusu kutoa harufu mbaya kinywani.
Kwa kweli najisikia vibaya sana kwa tatizo hili kuna jino la chini (gego) limechimbika na kuoza naombeni ushauri wenu nifanyeje kinywa changu kiwe safi na kisinuke angali nasukutua mara mbili au tatu kwa siku? Asanteni sana na natanguliza shukrani wakuu
Sawa mkuu nimeshahamia whitedent naona mabadilikoAchana na matumizi ya Colgate hamia whitedent afu uwe unakunywa maji
Mkuu nitafte nikuunganishe na mtaalam wa kinywa, ana dawa nzuri sana na utaleta mrejesho.Asante mkuu kwa ushauri wako.
Nitafte mkuuSawa mkuu nimeshahamia whitedent naona mabadiliko
Ushauri wowote unahitajika ilimradi nipate msaadaUshasema gego la chini limetoboka na limeoza, nini unachoomba ushauri sasa.
Aisee pole sana ndugu.Habarini.
jamani mwenzenu nina tatizo hilo la kutoa harufu mbaya kinywani kusema kweli linaninyima raha kabisa hapa majuzi nimemaliza kutumia mouth wash moja inaitwa MEDI-ORAL nilifikiri ingemaliza tatizo lakini naona bado.
Tafadhalini naomba msaada wa nini nifanye/kutumia ili niondokane na tatizo hili, kusema kweli linaninyima uhuru wakati wa mazungumzo.