Hahahhaaaaa acha bwana spana gani hizo. Mwamba ana shidayaan kwa tumbo hilo ndo umepunguza uzito? Au mie ndo sijaelewa.
yaan huyu OP ana ujasiri San wallah. LolHahahhaaaaa acha bwana spana gani hizo. Mwamba ana shida
Tipwatipwa tetema ooh mamaa tetete,tinginya tetema ooh mama tetemayaan huyu OP ana ujasiri San wallah. Lol
Tipwatipwa tetema ooh mamaa tetete,tinginya tetema ooh mama tetema
Hili tatizo lilianza mwaka uliopita. Nikaenda hospital waliniambia nipunguze uzito.
Nimepunguza but bado hii mistari haitoki.
Niini linaweza kuwa sababu ya hili tatizo na solution yake.
View attachment 1714557