encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 513
- 397
Habari zenu wanajamvi
Mimi nina tatizo la kushindwa kabisa kula samaki, dagaa na vitumbua. Vitu hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo vilikuwa ndio vitu navyovipenda sana nilipokuwa mdogo mpaka kufikia umri wa miaka 13 ndipo mambo yakaanza kuharibika.
Tatizo lilianza kwa kushindwa kula samaki fresh za ziwa Victoria zilizochemshwa na nikaendelea kula zilizokaangwa na zilizobanikwa. Kadri muda ulivyoenda nikashindwa kula hadi hizo za kubanika na kukaanga.
Miaka kadhaa iliyopita nilisafiri hadi Dar es Salaam na nikasema nijaribu samaki wa maji chumvi kwa kuhisi kwamba za maji baridi huenda ndio kikwazo kwangu. Cha kushangaza hata hizo za maji chumvi vilevile zikanishinda.
Sielewi nifanye nini ili niweze kula samaki kama awali?
NIKILA SAMAKI TU NASIKIA KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA JUU. NAOMBA USHAURI WENU, NINI NIFANYE NIWEZE KULA SAMAKI KAMA ZAMANI.
*Natanguliza shukrani.