Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua.
 
Tumia dawa ya NIMRcafe ni nzuri ina mchanganyiko wa limao, pilipili kichaa, tangawizi na vitunguu swaum na vitunguu maji.
 
Hii dawa naipataje au waweza kunifahamisha inavyotengenezwa
Hapo ulipo unaweza itengeneza kwa kublendi mchanganyiko wa limao,tangawizi,vitunguu maji na vitunguu swaum pamoja na pilipili kichaa. Inatumia kijiko cha chakula kila baada ya saa 8 .siku 3 tu utakuwa umepona. Dawa inapatikana Dar mimi kwa rafiki yangu alinipatia.
 
Uzuri wa Corona ikija ikikukuta upi vizuri haikutikisi. Utaona tuu unakohoa kwa mbali na ubapoteza uwezo wa kunusa na radha ya chakula kama wiki hivi unakua poa.
 
Back
Top Bottom