Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Ni week na nusu sasa nimepoteza hisia ya kunusa.Nikijipulizia perfume sisikii kabisa naweza menya chenza lakini sisikii harufu.Sina mafua hata kidogo.
 
Tafadhali wapi vipimo hospital. Watu wangu wa Karibu waliougua COVID-19 hiyo ni moja ya dalili. Wakati ukifanya hivyo endelea KUIMARISHA kinga kama tunavyoelekezwa au kujifunza kupitia mitandao.
 
Kesho nitaenda hospital
Tafadhali wapi vipimo hospital. Watu wangu wa Karibu waliougua COVID-19 hiyo ni moja ya dalili. Wakati ukifanya hivyo endelea KUIMARISHA kinga kama tunavyoelekezwa au kujifunza kupitia mitandao.
 
Nimegoogle wanasema "Anosmia" pia ina dalili hizo kama una allergy
Tafadhali wapi vipimo hospital. Watu wangu wa Karibu waliougua COVID-19 hiyo ni moja ya dalili. Wakati ukifanya hivyo endelea KUIMARISHA kinga kama tunavyoelekezwa au kujifunza kupitia mitandao.
 
Ni week na nusu sasa nimepoteza hisia ya kunusa.Nikijipulizia perfume sisikii kabisa naweza menya chenza lakini sisikii harufu.Sina mafua hata kidogo.
Bora wewe!
Bwana mdogo wangu ana mwezi sasa amepoteza vyote, sense of smell & taste. Alipata mafua kipindi fulani lakini amepona sasa na anafanya kazi zake vizuri tu lakini tatizo ndilo hilo.
 
Back
Top Bottom