Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Hapo ulipo unaweza itengeneza kwa kublendi mchanganyiko wa limao,tangawizi,vitunguu maji na vitunguu swaum pamoja na pilipili kichaa. Inatumia kijiko cha chakula kila baada ya saa 8 .siku 3 tu utakuwa umepona. Dawa inapatikana Dar mimi kwa rafiki yangu alinipatia.
Ok
 
Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua
Nyungu inakuhusu mkuu, piga nyungu
 
Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua
Kunywa ile dawa ya mchanganyiko wa tangawizi, swaumu, limao, asali.
 
Wadau hamjambo kwa anaejua dawa ya pua kuziba naomba aniambie yaani inatoka pumzi tundu moja na mda mwengine inatoa pumzi tundu nyengine yaani zinapisha na harufu napata kwa mbali sana anaejua dawa ya asili naomba jamani sina vinyama vya pua

Hiyo imenitesa sana ila kuna dawa moja nlipewa ya unga unaweka kwenye pua unapiga chafya zaidi ya 50 na tatizo likaisha baadae likarudi tena nikaweka dawa nyingine yakaziba matundu yote nlipata tabu sana kuna mama flan alinipa dawa ya kunywa ndo nkapona ila ilo tatizo unikuta nikiwa naishi kwenye mikoa ya baridi mfano Bukoba kagera kilimanjaro ila nkiwa kweny joto dar nakaa fresh kabisa
 
Nina siku ya pili pua zangu zimepoteza uwezo wa kupata harufu yoyote. Hii hali inanitisha maana sijawahi kuipata wala kuiskia kwa mtu.Achana na ile ya kusema nina mafua siskii harufu hii sio hiyo.

Nimetumia dawa za Malaria Malafin na za infection Theoflox mwanzoni mwa wiki. Hata mtu apite perfume kali au nikae sehemu ilopulizwa dawa yani siskii kitu.Chakula ndo kabisa siskii harufu zaidi ya kutaste hiki kina chumvi au sukari au pili pili.

Aliyewahi kupata hili tatizo naomba aniambie liliishaje?Je Kuna home remedies?

I feel numb yani kama I'm lifeless hivi.
 
Back
Top Bottom