google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
hiyo ni kama tabia ya kuku kula mayai hivyo jitahidi ule vyakula vyenye kalsium kwa wingi pamoja na kula vyakula vyenye madini ya chuma sana,
Wapo lakini hawa tatizo limepitiliza wanakuwa ni kama machizi na kesi zao ni chache mnoAsante wenye tatizo nadhani wamekuelewa, lkn hivi wapo na wanaotafuna za miguuni..?
Teh tehAcheni kula kucha, vidole vinakua kama tangawizi...
Sijawahi, hata kukata kucha tu sipendiTeh teh
we hulagi kucha??
Hhahaaaaaa huyo kwenye picha ana vidole vibaya hafu kazila sasa utafikiri hivo vidole huchimbia viazi.Acheni kula kucha, vidole vinakua kama tangawizi...
Sorry una umri gani? na tatizo lina muda gani?m n mwathrika kabsa wa hilo tatzo naliepukaje jaman
Ha ha ha dunia ina mengi hili nalo jipya!Wapo lakini hawa tatizo limepitiliza wanakuwa ni kama machizi na kesi zao ni chache mno
hahaha wewe nawe muone,Acheni kula kucha, vidole vinakua kama tangawizi ...