Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
hahahahahaha, you're crazy!Kuna mtu alikuwa anakula nywele, naye alihamia hadi za uani.
So do something, fuata ushauri ulopewa. Isipowork, kuna healer mmoja ambaye hakuna kisichotibika.

Kuna mtu alikuwa anakula nywele, naye alihamia hadi za uani.

lazima atapata madhara kwasababu hizo nywele zinajikusanya kwenye tumbo haziwi digested zinaweze zikusanyike na zibabishe madhara makubwa!Hahahahahahahaaha.....duuuh....hajapata madhara yoyote huyo mla nywele???
Kuna mtu alikuwa anakula nywele, naye alihamia hadi za uani.
So do something, fuata ushauri ulopewa. Isipowork, kuna healer mmoja ambaye hakuna kisichotibika.
hahahahahaha, you're crazy!
Kuna mtu alikuwa anakula nywele, naye alihamia hadi za uani.
So do something, fuata ushauri ulopewa. Isipowork, kuna healer mmoja ambaye hakuna kisichotibika.
nna kula kucha hatari wanajamii
nipeni madhara yake....hizi kucha zimeisha hadi nazichimba ntahamia za mguuni sooon...:car:
Ni kuacha kula mkuu, hiyo ndo dawa
hivi ni ipi dawa ya kuacha kula kucha maana sasa naelekea pabaya
Ooh pole sana ila hiyo ni dalili kwamba uko romantic na inatakiwa umpate kidume anaekumaliza hamu yote,utashangaa unaacha kula.
samahan nlikosea natafuna af nazitemaUnaposema unakula kucha je unazimeza? Unajua tofauti ya kula na kutafuna? Nakama unakula hizo kucha inakuaje unashiba?
samahan nlikosea natafuna af nazitema
so kama naona muda bado wa kua na huyo mtu hamna tiba mbadala nyingine maana mi nakukubali sana kwa ushauri tu big up