The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
Duh kumbe tupo wengi
Ushauri mzur asnte.Unaweza ukaacha kutafuna kucha "kama utataka". Hakuna aliezaliwa akitafuna kucha isipokuwa hayo ni matokeo ya kimazingira.
Tatizo la kutafuna kucha tena "mpaka kuitwa tatizo" si kidogo. Kwa wenzetu wanasaikolojia wanaliita "tatizo la kitabia" na kwa watafunaji wengi, huwa kuna mazingira linatokea; mfn. Unapokuwa na stress, huna kazi ya kufanya, una matatizo ya ulaji n.k.
Katika umri mkubwa hali hii huwa ni mbaya sana kwa muathirika kwani unakuta mtu hawezi kupitisha dk 5 bila kuweka kidole aama vidole mdomoni na kuanza kung'ata kucha hata kaama ni fupi mno.
Ni kweli hali hii huleta fedhesha kwa mtafunaji hasa pale anapokuwa mbele za watu wa kuheshimika ama anapofanya presentation ya kitu fulani.
UNAWEZAJE KUACHA.
Kuacha si rahisi kama "hutatia nia ya kufanya hivyo". Utafunaji wa kucha ni tabia na mtu hujifunza tabia fulani na huamua kuiacha pia (a behavior can be learnt or unlearnt).
Kama alivyosema msemaji mmoja hapo juu njia moja wapo ni KUPAKA VITU VICHUNGU KWENYE KUCHA ZAKO ambavyo vitakufanya ushinde kuzitafuna kucha zako
Pili, kuviwekea "nail clip" vidole vyako.
Kuweka kitu kwenye meno ya upande wa juu mbele ambavyo vitasaidia kuzuia ukataji wa kucha.
Tatu, kujitahidi kujiepusha na vitu vinavyoweza pelekea kutafuna kucha (najua utakuwa unajua ni mazingira gani huwa unatafuna kucha zako)
Kutafuta kitu mbadala ambacho kitakufanya uwe bize nacho (kama gums) hivyo kutojishughulisha na kucha zako, ingawa nazo si nzuri.
Jitahidi kujizuia hata kwa kuvifunika vidole vyako kwa vitambaa ama gause kwani ukiweze kufanya moja ya mambo hayo kwa muda wa miezi miwili ama zaidi, hakika utaondokana na tatizo la kutaka kutafuna kucha'zo.
Dawa ya kuondoa tatizo linalokusumbua kwanza ni kama ulivyofanya "kuliona tatizo na kulikubali" na pili "kuchukua hatua" kwa kudhamiria kufaaanya hivyo.
All the best dear!
Hizo ni stress mwone dr wa saikologi akusaidieKama kichwa kinavyojitaja,
Nina swali juu ya hili swala kwa sababu cjui sababu ya kupelekea mtu kutafuna kucha na pia ningependa kujua tiba yake kwe sababu ni jambo ambalo limenikumba na nahitaji kuacha.
Naomba msaada wenu!!
Same applies to me, nahitaji sana huo msaada jaman nishakuwa muathirika kabisaa
Hii dozi mpya AiseeKuna rafki angu akijihisi yuko mwenyewe anakula kamasi nishamuona mara nyingi ila nakausha.sijui ni ugonjwa gani huu me nahisi labda ana upungufu wa madini chumvi mwilini au kisaikojia




Mimi tatizo langu ni kula kizibo cha kalam(pen)yaani siwezi kukaa na pen bila kuitafuna kizibo,kiasi kwamba ofisi nzima wanajua pen zangu.nimejizuia nimeshindwa.mradi hainidhuru nimeona niache hali kama ilivyo.
Hataweza kwakuwa hiyo sio hamu yakeTumia bablishi zisizo na Sukari badala ya vizipo
Vinafananavipi wale tnaotafuna lips kwa ndani?
hii ni nini au ni mastress pomoni....
Ni vitu hivyo hivyoVipi KUHUSU kung'ata midomo??