Tatizo la kula/kutafuna kucha

Tatizo la kula/kutafuna kucha

inamaana inatokana na kutokuwa bize?...ila mm nimchezaji mzuri sana wa mpira na Pool table..ttz nikisimama kdg ujue mkono utaenda mdomoni au kichwani...ni ugonjwa au?...

Tatizo lako linatokana na mazoea tu pamoja na akili kukutuma kufanya hivyo.

Nyongeza:
Pamoja na maelezo nilotoa hapo awali nakushauri jitahidi kuilazimisha akili kuacha hiyo tabia kwa maana kila kifanyikacho ni matokeo ya akili kuwaza hivyo.
Tamati!
 
Jaribu kupaka sumu kidoleni kila unaoamka asubuhi. Najua unapenda kuishi kuliko unavyopenda kunyonya kidole.

Kwa utaratibu huo utaacha tu.
 
Nyongeza:
Pamoja na maelezo nilotoa hapo awali nakushauri jitahidi kuilazimisha akili kuacha hiyo tabia kwa maana kila kifanyikacho ni matokeo ya akili kuwaza hivyo.
Tamati!​

kwahiyo hiyo ndio dawa?

Jaribu kupaka sumu kidoleni kila unaoamka asubuhi. Najua unapenda kuishi kuliko unavyopenda kunyonya kidole.

Kwa utaratibu huo utaacha tu.

mh...hiyo huwa inajaribiwa kweli?
 
Dawa ni moja tu...........
Paka pilipili​
  • kama ni mlaji wa pili pili?..
Nataka nijue jinsia ili nijue jinsi ya kukusaidia maana naweza kukupa ushauri ukamfaa mwanamke badala ya mwanaume.

hiyo dawa matumizi yake ni lazima uwe Me au Ke?
 
Mkuu, there is so many ways this can be explained.

From Freud's point of view, it can be a sympton of Oral Fixation...Freud believed that nail biting, like everything else in life, is related to sex.

He believed it was just another characteristic of people with an oral fixation, or the constant desire to put things in our mouths as a form of stimulation.

According to Freud, all babies go through this stage. If they aren’t treated properly, they never move past this dependency and develop oral fixations.

Overeating, smoking, chewing on pens, and even seemingly unrelated behaviors like alcoholism and sarcasm are also listed as oral fixation indicators.

However, on the other side, Stress and medical issues are listed as potential causes, as are low self-esteem, emotional disorders, and family history.

Kuna wanaoamini kwamba genetics play a role in nail biting, as it tends to run in families.

Wengine wana argue kwamba nail biting ni a learned behavior, which would also explain the familial link.

Kama mtoto akimwona mzazi anakula kucha zake wakati wa stress ama inactivity, she or he might try it out and derive pleasure from the action, thus sparking a habit.

Kabla ya kupata ushauri, nadhani ni vyema uka disclose umri wako. hilo litasaidia zaidi kujuwa ni kwa namna gani utapata msaada kama unauhitaji.
 
Kabla ya kupata ushauri, nadhani ni vyema uka disclose umri wako. hilo litasaidia zaidi kujuwa ni kwa namna gani utapata msaada kama unauhitaji.

umri nishataja huko juu 25+..nauhitaji huo msaada..plz
 
umri nishataja huko juu 25+..nauhitaji huo msaada..plz
Ok, kama uko serious, ntajaribu kukupa ushauri here in a minute, nina mizunguko, however i promise nitafanya hivyo right when i come back.
 
Jaribu kupaka sumu kidoleni kila unaoamka asubuhi. Najua unapenda kuishi kuliko unavyopenda kunyonya kidole.

Kwa utaratibu huo utaacha tu.

nina bonge la zawadi kwa ajili yako...naomba unibip...namba ndo ile ile inaishia na 50
 
unapendelea kunyonya DOLE gani???kwa kuanzia tu!....
sina shaka na jinsia yako hata kidogo!...wasiwasi wangu ni sexual orientation yako.
 
Swali la kwanza kabisa wewe ni mwanaume au mwanamke?

Toeni msaada jamani dawa ya hilo tatizo si lazima sana mfahamu jinsia yake.
Young-Master naomba twenzetu kwenye thread ya jana, nililala nikakuta umezingua watu MWZvsAR
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom