Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Nakumbuka nilipokua mtoto nilikua na hiyo tabia ya kunyonya kidole gumba na kutafuna kucha,mama akawa ananikata kucha ya kidole kumba mpaka inatoa dam kila anapokuta nimeitafuna so nikijisahau na kuanza kukinyonya kinauma so nikajitahidi kufuga ile kucha ili mama akinikagua anakuta ukucha na kukata bila kuniumiza mpaka nikaacha kbs!