Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,640
Kuna jamaa yangu alikuwa anakula kucha mpaka vidole vikawa kama vya sokwe mtu.
Mkuu kwa nilipofikia sasa cjui kama nitaweza tena kuacha.. Nimeshakua teja kabisaaa.. Naweza nikajikana asubuhi mpaka mchana ila ikifika jioni kama kawa... Aisee nataman sana kuacha.. Ila nikikosa kazi ya kufanya tu hata kama nipo ofisini au niliwa na kazi ngumu sana...View attachment 387667
Hiki kitu kina waathirika wengi sana wake kwa waume wakubwa kwa wadogo. Tunaweza kudhani tu kuwa ni tabia mbaya au mazoea! La hasha kutafuna kucha za vidole vya mikononi ni tatizo la kisaikolojia linalomla mtu ndani kwa ndani kwenye ufahamu wake ambapo hupelekea viashiria hivi:-
-woga
-mawazo/msongo wa mawazo
-kutojiamini
-fadhaa/sononi
-kukosa la kufanya
-taharuki
-mapepe/restless mind
-hulka ya kuiga
Hivyo ni viashiria vikuu vya mtafuna kucha na hili jambo hufanya bila kupenda ni involuntary action. Kuna baadhi hufanya wakiwa pekeyao kwenye upweke na wengine hufanya pindi anapokutana na mtu kwa mara ya kwanza ama hadhira.
View attachment 387681
Kwakuwa hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi basi hata tiba yake ni ya kisaikolojia, hasa hasa
-councelling/ushauri nasaha
-kumjengea uwezo wa kujiamini mwathirika
-kutafiti kupitia yeye mwenyewe chanzo cha tatizo lake hilo na muda
Wengine hukutana na hii hali katika hatua fulani ya makuzi na ikipita tatizo hujitibu lenyewe!
Je una tatizo kama hili ama ndugu yako? Ama rafiki? Usikimbilie kwa mganga wa kienyeji utaambiwa una jini njaa..! Tiba unayo mwenye
Ukiwa kazini zipake kitunguu saumu ukiwa nyumbani zipake mafuta taa jaribu hii usikate tamaaMkuu kwa nilipofikia sasa cjui kama nitaweza tena kuacha.. Nimeshakua teja kabisaaa.. Naweza nikajikana asubuhi mpaka mchana ila ikifika jioni kama kawa... Aisee nataman sana kuacha.. Ila nikikosa kazi ya kufanya tu hata kama nipo ofisini au niliwa na kazi ngumu sana...
Binti yangu alikuwa na kuchagua nzuri sana, zimeharibika sababu ya kuziuma, nilishaongea hadi nimechoka. Je akifanikiwa kuacha kuzing'ata zitarudi kuwa nzuri?Sorry una umri gani? na tatizo lina muda gani?
Sawa ndugu , nitajaribu nione inakuaje. Binafsi hii hali siipend ila ndo nashindwa kui-controlUkiwa kazini zipake kitunguu saumu ukiwa nyumbani zipake mafuta taa jaribu hii usikate tamaa
Ilikuwaje ukaacha? Natamani mwanangu aache piaHili tatizo nilikuwa nalo kipindi Fulani.!
Du! I see kuna rafiki yangu anatafuna kucha hadi namuonea huruma. Hata yeye anasema huwa hakumbuki chochote wakati anapozitafuna na ameishajizuia kuacha hiyo tabia bila mafanikio. Afanyeje?View attachment 387667
Hiki kitu kina waathirika wengi sana wake kwa waume wakubwa kwa wadogo. Tunaweza kudhani tu kuwa ni tabia mbaya au mazoea! La hasha kutafuna kucha za vidole vya mikononi ni tatizo la kisaikolojia linalomla mtu ndani kwa ndani kwenye ufahamu wake ambapo hupelekea viashiria hivi:-
-woga
-mawazo/msongo wa mawazo
-kutojiamini
-fadhaa/sononi
-kukosa la kufanya
-taharuki
-mapepe/restless mind
-hulka ya kuiga
Hivyo ni viashiria vikuu vya mtafuna kucha na hili jambo hufanya bila kupenda ni involuntary action. Kuna baadhi hufanya wakiwa pekeyao kwenye upweke na wengine hufanya pindi anapokutana na mtu kwa mara ya kwanza ama hadhira.
View attachment 387681
Kwakuwa hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi basi hata tiba yake ni ya kisaikolojia, hasa hasa
-councelling/ushauri nasaha
-kumjengea uwezo wa kujiamini mwathirika
-kutafiti kupitia yeye mwenyewe chanzo cha tatizo lake hilo na muda
Wengine hukutana na hii hali katika hatua fulani ya makuzi na ikipita tatizo hujitibu lenyewe!
Je una tatizo kama hili ama ndugu yako? Ama rafiki? Usikimbilie kwa mganga wa kienyeji utaambiwa una jini njaa..! Tiba unayo mwenye
Uliachaje mkuu?Hili tatizo nilikuwa nalo kipindi Fulani.!
Ndio wapo mtoto wangu alikuwa akimaliza kula kucha za mikononi anaanza za mguu.lkn nilitumia zaidi elimu ya afya kumuelewesha,amepunguza kiasi kwa sasa.Asante wenye tatizo nadhani wamekuelewa, lkn hivi wapo na wanaotafuna za miguuni..?
Big G zilikuwa hazikatiki mdomoni.Ilikuwaje ukaacha? Natamani mwanangu aache pia
Kuna mtu aliniambia nitumie Big G zisikatike mdomoni na nilifanikiwa kwa kiwango fulani ndani ya miezi 2 nikasahau kuhusu kula kucha.Uliachaje mkuu?
Kupiga siyo dawa,dawa ni kumuelewesha kuwa kula kucha ni uchafu kila unapomuona anakula kucha.Mshana jr, vipi unatoa tiba mkuu, kuna dogo langu yani huwa nampiga mingumi ila hasikii, huyu ni mgonjwa type gani chronic ama?
Paka vidole pilipili au vibandike POPm n mwathrika kabsa wa hilo tatzo naliepukaje jaman
Duh! Nitajaribu kufanya hivyo akija likizo, akirudi kutoka shule ndio utazionea hadi huruma, kucha mbayaBig G zilikuwa hazikatiki mdomoni.