Mwambie anywe bia aina ya serengeti kuanzia bia tatu na kuendelea, tatizo lake litakwisha. Asisitize za baridi plzMwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..
mwambie anywe bia aina ya serengeti kuanzia bia tatu na kuendelea, tatizo lake litakwisha. Asisitize za baridi plz
Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks
Kumbe ni tatizo linalokukabili wewe?? Kunywa maji mengi kama tatizo litaendelea nenda hospitali.Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks
Ahahahahaaah!!! Kumbe na hii ni mojawapo ya dalili za syphilis?Hiyo nadhani ni syphilis. Haina tatizo,labda kam ukiwa Marekani,ambapo kumuona daktari inabidi utoe $100. Hii ni syphilis. Usiseme inatibiwa kwa kunywa maji. Kunywa maji kama huna hela za kwenda hospitali. Hii inatibiwa kwa injection.