Tatizo la kukujoa mkojo wa njano

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,956
1,346
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa japo hali hii inatokea na kupotea. Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini?
 
Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,435
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..
Mwambie anywe bia aina ya serengeti kuanzia bia tatu na kuendelea, tatizo lake litakwisha. Asisitize za baridi plz
 
Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
734
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..

Dawa ya tatizo hili ni 'WATER THERAPY'. Mshauri anye maji safi alfajiri anapoamka; hii iwe kabla ya breakfast. Kwa kuanzia atumie lita 1, baada ya wiki 2 apunguze hadi glasi 2.

Tahadhari, hii inafanye akojoe mara kwa mara na hutulia baada baada ya kama nusu saa hadi saa 1 hivi, hivyo iwe mapema kabla ya muda wa kwenda kazini vinginevyo ataleta usumbufu kwenye daladala. Baada ya siku 3 mwili ukizoea tatizo la kukojoa litaisha lenyewe.
 
MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,977
776
Mwanaume huyo hanywi maji, kwa afya njema anatakiwa kwa siku atumie lita 3 za maji
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
Mwanaume miaka 30 anatatizo la kukojoa mkojo wanjano kama wiki sasa ..japo hari hii inatokea na kupotea..Tatizo lake ni nini na matibabu yake ni nini..

maji anywe sana na pia inaweza kusababishwa na hali ya hewa pia kama ni ya baridi..
 
MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,196
1,211
Mimi nasema sio umwambieee..................bali unywe maji mengi muache tabia ya kuficha ugonjwa unaokusumbua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!........
 
jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,956
1,346
Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks
 
Shapu

JF-Expert Member
Jan 17, 2008
2,107
787
mwambie aende hospital akapime bana......mambo ya maji ni kawaida kama hunywi maji unakuwa njano lakini kama ameleta ni tatizo it means something might be wrong si aende kumwona doc?
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
8,176
7,951
Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks

Pole sana, inamaana mwili uliishiwa maji dadrated na dalili zake unapata dark yellow urine na tiba yake ndiyo huyo kunywa maji kwa wingi na kwa ratiba siyo lazima upate kiu ndo unywe maji hatua ya kusikia kiu ni dalili za kuishiwa maji. Ikiwa unapata light yellow urine mara nyingi husababishwa na chakula tunavyokula hasa venye vitamini B, madawa au vinywaji.

Ikiwa mwili unakiasi kilicho zidi cha vitamini B mtu hupata light yellow urine.
 
Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,009
2,399
Hiyo nadhani ni syphilis. Haina tatizo,labda kam ukiwa Marekani,ambapo kumuona daktari inabidi utoe $100. Hii ni syphilis. Usiseme inatibiwa kwa kunywa maji. Kunywa maji kama huna hela za kwenda hospitali. Hii inatibiwa kwa injection.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,945
12,576
Nashukuru sana kwa majibu mazuri ukweli sinyi maji nahata sikumbuki nilini nimekunywa maji kwa mara ya mwisho,ila mwenzenu nahishi kwenye mji wa baridi kali na baada ya miezi miwili ijayo baridi yake usipime..nibalaa.hayo maji nifanyanyeje zaidi huwa nashindia coffee ndiyo kinywaji changu..Thanks
Kumbe ni tatizo linalokukabili wewe?? Kunywa maji mengi kama tatizo litaendelea nenda hospitali.
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,945
12,576
Hiyo nadhani ni syphilis. Haina tatizo,labda kam ukiwa Marekani,ambapo kumuona daktari inabidi utoe $100. Hii ni syphilis. Usiseme inatibiwa kwa kunywa maji. Kunywa maji kama huna hela za kwenda hospitali. Hii inatibiwa kwa injection.
Ahahahahaaah!!! Kumbe na hii ni mojawapo ya dalili za syphilis?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom