Tatizo la kukonda bila sababu

Tatizo la kukonda bila sababu

binadamu tumetofautiana jamani, mi hata niwaze vipi sikondi na njaa haipotei... yani kukonda kumekua kugumu kiasi natafuta dawa niwe kama da wema... Wakati huo huo wenzetu mnalia kwanini mmekonda[emoji2296]
Haha haha haha kukonda sio dhambi ila tatizo ni kuwaza je naweza nikawa na tatizo linalosabaisha ili utibu
 
Andika kisayansi, toa vielelezo ili tukupe ushauri sahihi. Kabla ya tatizo la kukonda ulikua na kilo ngapi, na sasa umekonda kufika kilo ngapi na kwa tofauti ya muda gani?
Sijapima kilo kwa kweli ila nilikuwa na 79
 
Ni dalili za vidonda vya tumbo, acidi nyingi tumboni. Una stress pia. Wakati mwingine unaweza kuwa na stress na usitambue
 
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Mkuu umesha sema uanyo maradhi ya Typhoid utakosa kweli kukonda? Si unaharisha? Tumia dawa za hospitali hujapona nione kwa wakati wako ili nipate kukutibia hayo maradhi yako ya Typhoid ili upate kupona uguwa pole.
 
Lipa madeni ya watu;;!! Na kapime ngoma' mkuu:
 
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha.

Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Punguza mawazo
 
binadamu tumetofautiana jamani, mi hata niwaze vipi sikondi na njaa haipotei... yani kukonda kumekua kugumu kiasi natafuta dawa niwe kama da wema... Wakati huo huo wenzetu mnalia kwanini mmekonda[emoji2296]

We utakua ni wale MBOGA NZURI.
Yaani hata ujistresishe kiasi gani lkn Roho inakuambia wachana na izo vitu mbona unakila kitu😀😀

Tulia unenepe😀😀😀
 
eeeee kungonoka angalau mara kadhaa kwa wiki kunampa mtu ujasiri na kujiona wa thamani kama wengine😀😀😀


Yeye ahitaji thamani bali anataka kunenepa, je akifanya ngono atanenepa???
 
Yeye ahitaji thamani bali anataka kunenepa, je akifanya ngono atanenepa???

Nilisemea kipengele cha kupunguza stress ndipo tuje kwenye mlo.

Kitimoto ya kutosha, kukazia saum na bia mbili tatu alafu ugali mkuuubwa na Samaki😊😊😊😊
 
We utakua ni wale MBOGA NZURI.
Yaani hata ujistresishe kiasi gani lkn Roho inakuambia wachana na izo vitu mbona unakila kitu[emoji3][emoji3]

Tulia unenepe[emoji3][emoji3][emoji3]
Sio mboga 7 wala 10 mkuu[emoji23]Hapa nilipo sina Mbuni wala Remote ya urithi
basi tu kuna mda unafika unagundua tunatumia mda mwingi kuuchosha moyo sio kuishi
 
Nilisemea kipengele cha kupunguza stress ndipo tuje kwenye mlo.

Kitimoto ya kutosha, kukazia saum na bia mbili tatu alafu ugali mkuuubwa na Samaki😊😊😊😊


1--- Ngono
2---kitimoto
3--Bia
4---Ugali mkubwa.
5---Samaki.

Namba 1---3, hizo ni balaa, yaonekana humtakii mema.
 
Back
Top Bottom