MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,211
- 1,018
- Thread starter
- #21
Haha haha haha kukonda sio dhambi ila tatizo ni kuwaza je naweza nikawa na tatizo linalosabaisha ili utibubinadamu tumetofautiana jamani, mi hata niwaze vipi sikondi na njaa haipotei... yani kukonda kumekua kugumu kiasi natafuta dawa niwe kama da wema... Wakati huo huo wenzetu mnalia kwanini mmekonda[emoji2296]