Tatizo la kukonda bila sababu

MEING'ATI

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,212
1,009
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha.

Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
 
Acha kabisa mkuu usiwahi fikiria kupata kitu ambacho hauna uwezo nacho.

Matokeo yakendo hayo.

Hapa duniani ukiona uakula vizuri kabisa na unashiba mengine ni ziada tuu😀😀😀😀😀😀😀

Na usisahau kufanya mapenzi ni muhimu sanaaaa kwa afya ya akili
 
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Andika kisayansi, toa vielelezo ili tukupe ushauri sahihi. Kabla ya tatizo la kukonda ulikua na kilo ngapi, na sasa umekonda kufika kilo ngapi na kwa tofauti ya muda gani?
 
binadamu tumetofautiana jamani, mi hata niwaze vipi sikondi na njaa haipotei... yani kukonda kumekua kugumu kiasi natafuta dawa niwe kama da wema... Wakati huo huo wenzetu mnalia kwanini mmekonda
 
Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Nenda kacheki kama una shida ya figo mkuu.
 
Back
Top Bottom