CCM:Tuchagueni tena umeme itakuwa wa uhakika,tena utakuwa bure kabisa.
Watanzania tujipime
Kwa umeme huu, hao CCM wanaosema watajenga viwanda labda ivo viwAnda viwe vinatumia power bank!!
Ha ha ha nimecheka sana mkuu.Kwa umeme huu, hao CCM wanaosema watajenga viwanda labda ivo viwAnda viwe vinatumia power bank!!