hapo ndugu
yangu,ckufichi dawa ni maombi 2 if u a christian!nguvu za giza zinafanya
kazi kuliko kawaida!
Kweli sipend kosolewa, lakini sio kwamba nakasirika, tatzo nalohisi kwang ni mzaz wangu, ambaye nilikuwa nikikosea unakuwa wimbo miaka nenda rud. Mfano kama niliwahi poteza kitu labda miaka ya tisin, siku ananiagiza kitu lazima achomekee na hicho kitu. Pili mzaz wangu hajawahi accept opinion zangu hata ziko sawa, Kwa hiyo nimejikuta nazikuza bila kuelimishwa mambo ya msingi mfano. Jinsi ku-behave mbele za watu, jinsi ya Kumhudumia mke wangu, haya yote nimefundishwa na marafiki zang na watu baki. Kwa hiyo nimekua huku nikiwa nakinyongo ndani yangu. Lakin pia alinipenda sana. Tatizo liko hAkuwah kuwa karib nami na kusikiliza yanayonisbu hata leo nikiomba mwambia ntaendelea pingwa. Nachoombea msaada ni kuzitoa hasira tu ambazo huwa zinasumbua.