tatizo la hasira za mara kwa mara

Pombe haisaidii bali inakuza tatizo, fanya mazoezi kupunguza stress na ikibidi muone mtaalamu wa saikolojia.
 
Duh, yawezekana ikawa ni nature yenu katika familia au ukoo na pia hulaji wa nyama mbalimbali, unakuta wanyama wengine wakali kama simba. Hivyo vyote vinasababisha ww kuwa hivyo. La kufanya sali mala kwa mala soma BIBLIA au QURUAN Hasira zako zitapungua na sio kuisha.
 
Speedy na Pukudu nadhani tatizo lenu ni gumu kwani hata avatar zenu ni matatizo matupu.

No comment.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Kweli sipend kosolewa, lakini sio kwamba nakasirika, tatzo nalohisi kwang ni mzaz wangu, ambaye nilikuwa nikikosea unakuwa wimbo miaka nenda rud. Mfano kama niliwahi poteza kitu labda miaka ya tisin, siku ananiagiza kitu lazima achomekee na hicho kitu. Pili mzaz wangu hajawahi accept opinion zangu hata ziko sawa, Kwa hiyo nimejikuta nazikuza bila kuelimishwa mambo ya msingi mfano. Jinsi ku-behave mbele za watu, jinsi ya Kumhudumia mke wangu, haya yote nimefundishwa na marafiki zang na watu baki. Kwa hiyo nimekua huku nikiwa nakinyongo ndani yangu. Lakin pia alinipenda sana. Tatizo liko hAkuwah kuwa karib nami na kusikiliza yanayonisbu hata leo nikiomba mwambia ntaendelea pingwa. Nachoombea msaada ni kuzitoa hasira tu ambazo huwa zinasumbua.

Wangapi hawakufunzwa na wazazi wao halo uliyoyataja na bado wako sawa?

Kikubwa ni kuwa wewe una gubu na pride, au pengine unapenda kubully na kuona wenzio wajinga na irresponsible.

Tafuta mshauri, soma vitabu na majarida yenye success stories ujifunze wenzio wamewezaje, jikabidhi kwa Mungu kwa kuzidisha ibada.
 
Hilo tatizo lina wengi sana. Sipendi kusema nami ni mmoja wao but huyo kaka nadhani ni wa mkoa wa mara yaani Mkuryaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii tabia haina mkoa wala kabila ni hali ambayo mtu anakuwa nayo , kama wachangiaji wengine walivyo sema ni malezi waliyo kuwa nayo walivyo kuwa wadogo au ni hali ya maisha inachangia piya.
 
Pole sana kwa tatizo lako,punguza kula nyama nyekundu,pombe ndo mbaya kabisa coz huharibu uwezo wa kufikiri,think positive always,tumia muda mwingi kusoma biblia na vitabu vingine vya kuongeza maarifa,usipoteze siku moja huajasoma chochote,jiepushe kuwa shabiki wa timu yoyote au chama chochote cha siasa,me ni mwanasaikolojia by born nawafahamu vizuri watu kama wewe yaani usikute pia ni mbishi,yaani zoea kukubaliana kwamba mambo mengine yapo kama yalivyo,tafuta marafiki kama wanajeshi,uwe unawatembelea hadi maeneo yao ya kazi utajifunza sana kuachana na hasira,cha muhimu jifunze daily na uache kujiona upo right always.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom