Ricardo Damiano
Senior Member
- Nov 4, 2011
- 103
- 82
Habari wanajukwaa
Nina tatizo na HTC yangu inatumia windows os yaan haitumi chochote kwa Bluetooth wala huwezi kudownload music unless ni ndani ya whatsapp.
Naombeni msaada mwenye solution ya hili.