Badala ya kutumia huo muda kutapika essay useless online.Tanzania ilianza kuharibiwa na nyerere. Ushahidi unaotaka kuniambia mimi nikupe ni impractical na hauja reason well kuniomba huo ushahidi
Tabia za kutumia USALAMA wa Taifa ku silent probers alianza Nyerere : tofauti yake na hawa wa sasa yeye alifanya kwa siri… watu hawakuwa wanatekwa hadhqrani . JK ndio alianza mambo ya kuteka hadharani….. Samia na JPM ni continuation
Suali la msingi, nchi utaishi kwa kukataa maoni na critics hadi lini!?
Generation ya sasa ni tofauti sana ; kama CCM wasipoelewa hili … hatari ni kubwa sana ahead . Ni bomb in the making
Ungekuja na ushahidi wa HOJA, SHERIA, MATUKIO na MAANDISHI.