Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

No ya watu kwenye maandamano yoyote huwa na impact kubwa kuliko hata hayo mabango waliyobeba.
Kwahyo wakiwa wengi alafu wasiwe na ujumbe nini kinatokea muda mwingine tukubali kilichofanyika ujumbe umefika
 
Manyumbu ni chadema, kama lengo ni kufikisha ujumbe bila kujali idadi ya watu wanaofikishiwa huo ujumbe hakukuwa na haja ya maandamano. Hata humu jf ujumbe unafika tuu.
Maana yake yale matembezi yenu ya hiyari yamefanikiwa bila kujali idadi ya watembeaji.
Kwani kwa makadirio yako unahisi ni watu wangapi wamefikishiwa ujumbe au ni serikali ndio ilitakiwa kufikishiwa ujumbe? Idadi ya waandamanaji inaweza isiwe kubwa ila watakao pata habari ni wengi ndio maana kulikua na media karibu zote jambo limetangazwa hadi dw unatarajia ni nchi ngapi zimejua kua kuna maandamano na sababu zake ni zipi....
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Ni kweli
 
Wananchi wengi walishashtuka kwamba siasa za upinzani Tanzania hakuna lolote!

Hao viongozi wanawatumia watu kujitafutia ugali wao tu!

Akina Mwita Waitara, Mashinji, Joshua Nassari leo wako wapi!?

Halima Mdee na timu yake walipoona wanaweza kukosa ubunge wa viti maalum wakasema liwalo na liwe! Wakacheza deal la kuapishwa waendelee kula fedha za ubunge vinginevyo njaa ingewaua mjini!

Michango kila kukicha lakini huoni mabadiliko yoyote chanya yanayoashiria kukua kwa Chama , hata Ofisi ya Makao Makuu yenye hadhi wameshindwa kujenga kwa zaidi ya miaka 30 ya kuasisiwa kwa CHADEMA!

CHADEMA mnazidiwa maarifa hata na Mwijaku ambaye kwa kazi yake ya Uchawa kajenga ghorofa lake la bilioni 1.3!

CHADEMA mmetafuna mabilioni mangapi kuanzia ruzuku, fedha za wafadhili, fedha za Sabodo,fedha za michango kama zile za Join the Chain?!

Vyoo vyenu vya pale Makao Makuu yenu Makaburini Mtaa wa Ufipa bora mtu akajisaidie tu kwenye vyoo vya Stand yoyote iliyoko karibu!

Zaidi utasikia Mwamba, Mwenyekiti Mbowe amezindua hekalu lake jipya!

Viongozi miaka nenda rudi ni wale wale na mawazo yao ni yale yale kinachobadilika ni misemo tu mara utasikia Oparesheni Sangara, M4C, No Hate No Fear, Join the Chain na usanii mwingi tu!

Maandamano yenu yakipuuzwa na Wananchi acheni kuwalaumu maana wamewatambua na wao wamejitambua kwamba kila mtu anapigania UGALI wake, period!
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Tathmini Ili Ikamilike Iwekwe na Waliopinga maandamano nao waandae maandamano waeleze sababu za kupinga kwao!
Kama CDM walivyoeleza sababu zao za kuandamana...
 
Nimekua muumini wa mabadilko popote pale yanaptokea duniani.naomba kuuliza wadau,hivi maandamano ya Jana CHADEMA walifanikiwa au walifeli??ukinijibu naomba na Sababu.asante
Hayakufanikiwa kwa sababu nadhani lengo la waanzisha maandamano lilikuwa ni kuona jeshi la polisi linayazuia ili wao waingie barabarani kwa nguvu halafu jeshi litumie nguvu kubwa kuyazuia na hatimae watu wapigwe na wengine kupata ulemavu kabisa ili tu wapate nafasi ya kusema na kuandikwa sana kwamba wananyimwa haki yao ya kuandamana

NB:- hayo ni mawazo yangu tu na naomba yaheshimiwe
 
Kama nia ilikuwa ni hiyo kwanini hawakuacha kuandamana baada ya kuona Jeshi la Polisi halina nia ya kutumia nguvu? Tumia senses zako zote kabla ya kuandika humu.
 
The fact unauliza ina maana hayakufanikiwa...yangefanikiwa usingeuliza
 
Hayakufanikiwa kwa sababu nadhani lengo la waanzisha maandamano lilikuwa ni kuona jeshi la polisi linayazuia ili wao waingie barabarani kwa nguvu halafu jeshi litumie nguvu kubwa kuyazuia na hatimae watu wapigwe na wengine kupata ulemavu kabisa ili tu wapate nafasi ya kusema na kuandikwa sana kwamba wananyimwa haki yao ya kuandamana

NB:- hayo ni mawazo yangu tu na naomba yaheshimiwe
Kila mwanaccm anajua nguvu ya cdm, ndio maana ziara yote ya mwenezi wa ccm ni lazima aitaje cdm, na sio vyama vingine ikiwemo vile 13 vilivyojitokeza kupinga maandamano ya cdm. Hivyo wanaccm wote hawakutaka maandamano ya cdm, maana cdm inapopata watu wengi inawaumiza.

Cdm wao kama chama lengo lao la kuandamana na kufikisha ujumbe wao limetimia. Hivyo kwa upande wa cdm wamefanikiwa maana walichataka wamekifanya. Nyie wapotishaji wa ccm ni juu yenu kuanika nongwa zenu, maana mliona kisichowapendeza.
 
Back
Top Bottom