Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwanini viongozi wasingeenda UN na gari moja tu.
Njia za kufikisha ujumbe ziko nyingi jaribu kupanua maarifa
1. Signing 9f petition
2. Use of mass media
3. Public meetings
4. Demonstration
5. Boycott
6. Round table discussions

Kwanini usiulize why Martin Luther Jr aliongoza Montgomery demonstration kudai civil rights za mtu mweusi asiende Washington kwa gari moja. Ujinga ni mzigo
 
1. mwanzo mgumu, ila ni mwanzo mzuri.... ni kwa mara ya kwanza wanaitosha maandamano baada ya muda mrefu.. mara ya mwisho ni 2015 lowassa alipoenda kuchukua form...labda na yale yaliyopelekea kuuliwa AKWILINA (RISASI ILIPIGWA JUU IKAKATA KONA IKAUA ABIRIA KWENYE GARI) it has been a while kwahyo kuanza kurudisha sio ajabu siku ya kwanza kuanza na mahudhurio madogo then yafuatayo yakachanganya kama gear za magari toka namba moja mpaka 5
2. matishio mengi ya kiserikali yalitengeneza hofu na woga.. mkuu wa mkoa kutangaza kusambaza wanajeshi na polisi zaidi ya elfu 8 kwenye barabara zote, kulirejesha picha mbaya ya maandamano ya kiafrica ambayo polisi hupambana na waandamanaji, vifo, vilema na hasara, kwahyo biti la RC liliathiri utayari wa watu.
3. kuchelewa kibali cha polisi.... polisi walisubiri mpaka siku ya mwisho jioni ndo wakatoa kibali cha maandamano, pengine kingetoka mapema kama tarehe ilivyotangazwa kungekuwa na uhuru wa watu kuwa tayari kushiriki
4. Siku ya kazi.... kuchagua kuandamana katikati ya wiki, jumatano tena saa 3 asubuh maana yake waajiriwa wote hawataweza kushiriki, wenye mishemishe nying hata binafs ni ngumu kuwapata, ukizingatia TZ ina watu masikini wajipatiao riziki siku kwa siku, sacrifice ya siku nzima ni kubwa kwa wanaoishi chini ya dola 3 kwa siku, angalau yangepangwa siku za off kama public holiday au weekends.

kwa mimi wingi si hoja, chadema wamefanikiwa na wamepata njia ya kusonga mbele.. wameonesha bado ni chamaa kikuu cha upinzani.
 
concerne yako ni sababu tosha ya kuwa chadema bado ina nguvu ndio mana wakiandamana act au nccr haileti uzi
 
Unaemshauri ana ubongo wa kukuelewa sasa?
Njia za kufikisha ujumbe ziko nyingi jaribu kupanua maarifa
1. Signing 9f petition
2. Use of mass media
3. Public meetings
4. Demonstration
5. Boycott
6. Round table discussions

Kwanini usiulize why Martin Luther Jr aliongoza Montgomery demonstration kudai civil rights za mtu mweusi asiende Washington kwa gari moja. Ujinga ni mzigo
 
Hakuna maandamano ambayo yatahusisha binadamu wote.ata safari ya kwenda mbinguni hatutaenda wote.Maandamano yanafanywa na wale wenye nafasi pamoja nawale walioguswa na hoja husika.Cha msingi ni kwamba ujumbe ufike ata kama wangeandamana watu watatu.Kwa hao wachache waliojitojeza maana yake watu wana kiu ya mabadiliko tatizo ni njia yakuyafikia.Sasa mabadiliko sio kama kuchomoza kwa jua ni jambo linalohitaji mipango sahihi na muda.Kwa kikichofanyika jana ni mwanzo mzuri,labda kwa mtu mwenye akili ndogo ndiye ambaye hataona hayo mafanikio.
 
Wajinga wala miguu ya kuku wanaojiita wa mjini wanazidiwa na washamba hata kupigania haki zso hawajui mpaka wapiganiwe na wanaume kutoka mikoani midi Wendi wenu walala njaa.
Unatoka kijijini kweny shida ya maji huwezi kuja wapigania watu wa mjini ...Pambana mjenge vyoo kwanza ndio muanze maandamano hizo sehemu zenu washamba kibao.
 
Pongezi sana mkuu,ni mungu tu amekupa mwanga wa kuweza kuona kuwa CDM haifai
Acha kumuhusisha Mungu na upumbavu wako.wewe ni chawa tu unayejali maslahi binafsi badala yakuifikiria nchi.
 
Je Tutafika ?!!!! Kwa masikitiko nasema safari bado ni ndefu....

Sisi kama wananchi na walipa kodi tumejikita kwenye petty issues za wangapi wamekuja au tuna wafuasi kiasi gani au nani ni zaidi !!!, Badala ya kuangalia issues ambazo zinatupiga / zinaongelewa...,
  • Maisha Magumu;
  • Mgao wa Umeme;
  • Mfumuko wa Bei na Na idadi kubwa ya Walamba Asali (Mchwa) na Chawa kuongezeka....
Narudia tena Safari bado ni ndefu...., mpaka tutakapoanza kuongelea issues na sio nani kaleta issue tutaendelea na haya Maigizo....,
 
CHADEMA ya mwaka 2021 inawatukana ACT kwa msimamo wao wa tume huru kwanza kuelekea katiba mpya
CHADEMA ya mwaka 2024 inakubaliana na msimamo wa ACT wa mwaka 2021 kuwa tume huru kwanza.
Kweli siasa ni dynamic 😛
Ulisikiliza hoja zilizotolewa na chadema ukazielewa au unakurupuka tu kwasababu ya mitazamo yako tu mibovu?.
 
Je Tufatifika ?!!!! Kwa masikitiko nasema safari bado ni ndefu....

Sisi kama wananchi na walipa kodi tumejikita kwenye petty issues za wangapi wamekuja au tuna wafuasi kiasi gani au nani ni zaidi !!!, Badala ya kuangalia issues ambazo zinatupiga / zinaongelewa...,
  • Maisha Magumu;
  • Mgao wa Umeme;
  • Mfumuko wa Bei na Na idadi kubwa ya Walamba Asali (Mchwa) na Chawa kuongezeka....
Narudia tena Safari bado ni ndefu...., mpaka tutakapoanza kuongelea issues na sio nani kaleta issue tutaendelea na haya Maigizo....,
Tutafika tu kwasababu bado nchi ina lundo la wajinga ila kupitia njia mbali mbali watazidi kupungua.
 
Tutafika tu kwasababu bado nchi ina lundo la wajinga ila kupitia njia mbali mbali watazidi kupungua.
Tatizo kama hatuongelei Issues tunaongelea watu na kuleta UCHAMA bado yatakuwa yaleyale hata tukiwatoa hawa tukawaleta wale na bado tukawa tuna USISI na UWAO na sio Nini Hakifai no matter Nani amekifanya tutaendelea na haya Maigizo (Same Outcomes, Different Players)....
 
Kumbe sio kufikisha ujumbe ni kuangalia idadi ya watu......ccm itaendelea kuongoza manyumbu kwa kipindi kirefu sana
Manyumbu ni chadema, kama lengo ni kufikisha ujumbe bila kujali idadi ya watu wanaofikishiwa huo ujumbe hakukuwa na haja ya maandamano. Hata humu jf ujumbe unafika tuu.
Maana yake yale matembezi yenu ya hiyari yamefanikiwa bila kujali idadi ya watembeaji.
 
Washamba ndio wanaandama wale kutoka Mbeya , Morogoro ...Dar kila mtu na njaa zake anajitafutia ..Mtu ache biashara zake afuate ujinga wa biashara za watu ambazo ni siasa...
Juzi tu Wajerumani Wameandamana kwa maelfu nani mshamba hapo?

Naomba majawabu tafadhali
 
Hebu Erythrocyte njoo huku ujieleze😎
Huyu atakuwa Bado kalala kama alikuwa kwenye maandamano ile njia ya kuanzià stendi ya Magufuli Hadi Posta atakuwa mwili wote unamuuma kameza Panadol anazinywa mara tatu tatu kutwa

Waliotembea ile njia Kuna wengine waweza lazwa hospitali

Ile njia Sio utani mtu Lazima aumwe
 
Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela Erythrocyte alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Nijuavyo mimi siasa maandamano yaliyofanyika usiku kwenye Guest house ni makubwa kuliko yake ya mchana tena M4C watu wa maji sanaa
Screenshot_2024-01-25-10-46-58-1.png
Screenshot_2024-01-25-10-48-21-1.png
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Kilichotokea ni kutegea kutokana na hofu, lakini wakishajua maandamano yameruhusiwa utaona mtiti wake. CCMpamoja na kuwa hawasumbuliwi na Polisi, lakini mikutano yao wanasombana kwa maroli ndio iwe afadhali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Tathmini yako siyo sahihi, kumbuka maandamano haya yamefanyika siku ya kazi na pili polisi walifanya makusudi kuchelewesha kutoa majibu ya taarifa ya maandamano kutoka Chadema.

Pia ni kuwa bado wananchi hawana imani na polisi kwa hiyo wengi walikuwa wanausoma mchezo!
 
Back
Top Bottom