TATAKI hali si shwari.

Nilijifunza ukiwa mwanafunzi kupata div 0 au 1 ni kazi sana, hivyo hivyo JF kupata ban ni kazi kweli, sasa naona wewe unajitahidi kuisogelea hiyo ban. Endelea PAW atakapitia ka ID kwa wiki mbili hivi naona itakusaidia kurudisha heshima.

haka katoto nakajua! kajinga kwelikweli, yaani anapenda ligi kila mahali, hata pasipohusika!
 
Mkuu mabulangata nimekusoma. lakini angalia majibu ya prof. mutembei jana kwenye kikao pale chumba no. 204, alikuwa na jazba na alikuwa anajaribu kuleta hoja peripheral ili kuizima hoja kuu. alizungumzia kukaa kwa senate, kwanini hakuwa mkweli aseme kama senate ingekaa leo badala ya kuzungumzia kikao cha senate as if ni ishu ya miezi kadha ijayo? huoni kama kuna ajenda iliyojificha hapo? kuhusu kama ni pesa au ni uwandani, ishu ni field, kama ulikuwepo kikao cha jana tulisema kama ingeshindikana kabisa tungejidhamini hiyo field., ama sivyo? kuhusu sheria si kweli, huwa wanaenda field mwaka wa pili na mwaka wa tatu kwenye law chambers na mahakama za mwanzo! dodoma wao walienda mwaka wa kwanza na mwaka wa pili pia watakwenda! kama uko aware, nadhani umesikia reaction ya dvc office.
 
seante ya jana nilivyoifuatilia vyema niligundua kuwa ilikua ajenda kuu moja muhimu labda kama ingepelekwa kama AOB na issue ya course package ni strong case haiwezi kuwekwa kama AOB ni lazima watu waambiwe mapema ufanywe utafiti wa kutosha ili kushawishi senate. Kuhusu reaction za DVC academic ni kilekile nilichokieleza mimi kuwa lazima kuwe na uundwaji wa course package utakaopendekezwa na wana TATAKI tusiwe kama wale wanaokurupuka na kukataa mswada wa namna ya kupata katiba mpya huku wa wakiwalazimisha wananchi waamini kuwa ule ni mswada wa katiba mpya. Naendelea kushauri kuwa kuwe makini maswala yanayohusu maisha yetu swala la uwadani ni muhimu sana kwa kila mwanafunzi hasa kwa nchi zinazoendelea na hasa kwa elimu yetu ya madesa na kusomakufundishwa ili tufaulu mitihani. Chuo kikuu ni pa kujifunza na siyo kufundishwa na ndiyo maana kunakuwa na mijadala na kukosoana kwa hoja ndiyo maana hata wana TATAKI walisema hawataki siasa laikini vilevile tukatae majibu magumu ya haraka ambayo mwishowe ni ufisadi au short term solutions.

Kama Mutembei ametujibu vibaya je tunapaswa kumpiga? je tunafuata sheria zilizopo? je yeye ndiyo alfa na omega? je hakuna aliye juu yake ambaye matatizo yangeweza kupelkwa kama rufaa? tafakari chukua hatua stahiki. Tujenge taifa yenye weledi na maendeleo endelevu.
 
si bure kijana! naona kuna kitu kinakupa back-up. hili suala tumelifuatilia kwa mwaka mzima sasa. ina maana huo muda wote wameshindwa kufanya hayo masuala ya package na nini? majibu ya haraka ni muhimu ili watu watulie na maisha yaendelee...
 
seante ya jana nilivyoifuatilia vyema niligundua kuwa ilikua ajenda kuu moja muhimu labda kama ingepelekwa kama AOB na issue ya course package ni strong case haiwezi kuwekwa kama AOB ni lazima watu waambiwe mapema ufanywe utafiti wa kutosha ili kushawishi senate. Kuhusu reaction za DVC academic ni kilekile nilichokieleza mimi kuwa lazima kuwe na uundwaji wa course package utakaopendekezwa na wana TATAKI tusiwe kama wale wanaokurupuka na kukataa mswada wa namna ya kupata katiba mpya huku wa wakiwalazimisha wananchi waamini kuwa ule ni mswada wa katiba mpya. Naendelea kushauri kuwa kuwe makini maswala yanayohusu maisha yetu swala la uwadani ni muhimu sana kwa kila mwanafunzi hasa kwa nchi zinazoendelea na hasa kwa elimu yetu ya madesa na kusomakufundishwa ili tufaulu mitihani. Chuo kikuu ni pa kujifunza na siyo kufundishwa na ndiyo maana kunakuwa na mijadala na kukosoana kwa hoja ndiyo maana hata wana TATAKI walisema hawataki siasa laikini vilevile tukatae majibu magumu ya haraka ambayo mwishowe ni ufisadi au short term solutions.

Kama Mutembei ametujibu vibaya je tunapaswa kumpiga? je tunafuata sheria zilizopo? je yeye ndiyo alfa na omega? je hakuna aliye juu yake ambaye matatizo yangeweza kupelkwa kama rufaa? tafakari chukua hatua stahiki. Tujenge taifa yenye weledi na maendeleo endelevu.

Nilijua tu kama umetumwa. Feeback toka utawala iliyohimiza uongozi wa TATAKI uandae package ya field imefanyiwa kazi. Ni kuwa tunaenda uwandani mwisho wa semester ya pili kwa kozi ya KI 215 na mwaka wa kwanza wanaenda kwa kozi ya KI 115. Kila nikikumbuka zile porojo zako za kipindi kile wala sina shaka kuwa umetumwa na utawala. Na chupi zitawabana mwaka huu, naona mmekimbia kikao na wale mliowafukuza kwa barua zenu wenyewe!
 
Back
Top Bottom