Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,542
- 12,404
Around 2 million dollars per km for a standard 11 meter wide, two lane asphalt paved road, including regular drainage. Bridges have to be considered individually.Kazi imeiva katika mkoa wa DSM baada ya TARURA kuingia mkataba na wakandarasi wazawa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa DSM. Billioni 14 tayari zimemwagwa.
Sasa tunataka kazi zionekane, wakandarasi wazawa pigeni kazi muache visingizio, kazi mmepewa hela mmepewa sasa ole wenu mule hela za walipa kodi halafu kazi zisikamilike.
Pongezi kwa Rais Samia kwa kudhamiria, naamini maeneo ya pembezoni yamepewa kipau mbele zaidi kwa mfano maeneo ya Kiluvya gogoni. n.k
Kwa msaada wa Google.