Tarehe Mbaya Hizi...

Duh nimecheka sana. Kuna post hapo juu jamaa kamalizia kwa kusema 'anaeumia ni mwananchi wa kawaida' nikataka nimjibu unafikiri wanaopandisha bei wanajali mwananchi wa kawaida akiumia? Nikajisemea wacha nisiletw siasa kwemye huu uzi.
Ila sio maneno yangu mkuu.

Ni maneno ya kijana mmoja ambaye baba yake ni waziri ndiye anayesema hao viongozi hawafurahishwi kuona wananchi wana hali nzuri kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…