Tarehe Mbaya Hizi...

Toka njue Lita 1 inapigwa Tsh 1,500 ya kodi na kulipa agencies kabla ya mfanya biashara hajaanza gharama zake, naona kabisa kufika bellow 3,000 Tsh sio Leo.
Hizo tozp ziko pale pale kilichopanda ni bei ya crude ambayo ime double. Ikirudi kwenye $60-70 kama zamani bei hata kwetu zitarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…