Taratibu za uandishi wa vitabu: Soma na uchangie hapa

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Kwa mwenye uzoefu au ujuzi hata taarifa yoyote juu ya taratibu ninazopaswa kuzifuata ninapoandika kitabu kitakachotumika kwa rejea ya ufundishiaji mashuleni. Taratibu ni zipi, kwa uandishi wa kitabu cha A LEVEL shart niwe na kiwango gani cha elimu, usajili wake unafuata utaratibu upi na gharama ya fedha ni kiasi gani, je kupata ithibati huchukua muda gani?
Haya ni baadhi ya maswali ambayo naomba kusaidiwa. Pia nakaribisha mawazo mapya hapa ambayo sijayagusa.
Ahsanteni, nawasilisha.
 
Back
Top Bottom