Taratibu Za Kuwa Mkimbizi Ni Zipi?

Kutokana na maisha kuwa magumu nchini, nafanya mpango wa kukimbilia nchi jirani ambako kuna unafuu wa maisha. Endapo hali itaendelea kuwa hivi nataka niwaombe hawa UNHCR haki ya ukimbizi, nchi zilizo jirani na makazi yangu ni Zambia na DRC. Kuhama nchi kutokana na ugumu wa maisha kunaruhusiwa kulingana na taratibu za UNHCR?? Na taratibu zikoje??
...Imekuwaje tena? Huko kwenu majuzi si mmefanya mkutano wa wawekezaji, halafu tunasikia kuna na wengine wanakuja wekeza mamilioni ya dolari za kimarekani?
 
nahisi hizo sheria hawawezi kuziweka wazi, maana watz wengi wamechoka na hii nchi ya kila kukicha bora ya jana.
...Sheria? Huko mbali sana, unahitaji kufahamu taratibu.

...Kila nchi ina taratibu zake. Inabidi kwenu kuwe na vita, ubaguzi (unaombatana na mauaji) wa rangi au kabila, na kusakamwa au kutishiwa maisha kwa sababu za kisiasa.
 
Ugumu wa maisha nao vipi?
 
Hatimae nimeshapata taarifa za namna ya kuwa mkimbizi na sasa nafanya survey kujua ni nchi gani iliyo bora kati ya Zambia, Malawi, Mozambique na Burundi. Hii ni kutokana na nchi yetu kutoeleweka inakoelekea, hili la madaktari linaelekea linaisha sijui litafuata nini.......
 
...Imekuwaje tena? Huko kwenu majuzi si mmefanya mkutano wa wawekezaji, halafu tunasikia kuna na wengine wanakuja wekeza mamilioni ya dolari za kimarekani?
Wawekezaji wanaokuja na kila kitu hadi vibarua?? Muda si mrefu tutaanza kufukuzwa hadi kwenye ardhi yetu, kuliko kusubiri machafuko ngoja nikimbie mapema....
 
ok, sasa nimeelewa.
Kiswahili sasa hivi kimekua hadi kinanyoa ndevu
lazima tuombe ufafanuzi nisipolelewa japo kidogo lol

hahahahhhh kongosho umesababisha nicheke kwa sauti, mama mwenye nyumba asije nitoa mbio.

Namaanisha Ak 47 maana nikisema machine gun utanipeleka sipo...
 
Back
Top Bottom