Taratibu Za Kuwa Mkimbizi Ni Zipi?

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Kutokana na maisha kuwa magumu nchini, nafanya mpango wa kukimbilia nchi jirani ambako kuna unafuu wa maisha. Endapo hali itaendelea kuwa hivi nataka niwaombe hawa UNHCR haki ya ukimbizi, nchi zilizo jirani na makazi yangu ni Zambia na DRC. Kuhama nchi kutokana na ugumu wa maisha kunaruhusiwa kulingana na taratibu za UNHCR?? Na taratibu zikoje??
 
na familia mkuu?
Wazee wako utawaacha hapa wateseke,,,,kweli we umewaza mbali.
Ahahahaah!! Mkuu nataka nijue taratibu za ukimbizi kwanza, halafu ndio nitajua kama kuna uwezekano wa kuwasaidia na wanafamilia wengine ENDAPO nao watataka kuwa wakimbizi.
 
ww ni wakuripotiwa mara moja uhamiaji maana haka katabia unakokaleta utawaambukiza watanzania woote !!
 
Ukipata mkuu na mimi nijulishe nataka nikawe mkimbizi Brazili ana canada nimechoka na maisha ya kubembelezana na kuibiana
 
Kutokana na maisha kuwa magumu nchini, nafanya mpango wa kukimbilia nchi jirani ambako kuna unafuu wa maisha. Endapo hali itaendelea kuwa hivi nataka niwaombe hawa UNHCR haki ya ukimbizi, nchi zilizo jirani na makazi yangu ni Zambia na DRC. Kuhama nchi kutokana na ugumu wa maisha kunaruhusiwa kulingana na taratibu za UNHCR?? Na taratibu zikoje??

Bora ukimbilie Somalia ukapate hifadhi kwa al shabab
 
ww ni wakuripotiwa mara moja uhamiaji maana haka katabia unakokaleta utawaambukiza watanzania woote !!

akianza na mimi....Katavi ukipata hizo taarifa nitaarifu......
nataka nikimbilie Shelisheli....
 
nahisi hizo sheria hawawezi kuziweka wazi, maana watz wengi wamechoka na hii nchi ya kila kukicha bora ya jana.
 
mnh jamani mnavoondoka msisahau vitenge,vilemba,tshirt na kofia tunazogawiwaga ili wakawatambue na mmemkimbia nani.
 
Am in hebu ukishafahamu tujulishe maana ni heri kuishi maisha magumu yenye uhakika na yanayoeleweka kuliko haya yetu kila kitu uhuni mtupu kupanda kwa bidhaa mpaka mchoma mahindi naye anapakupandishia bei na hakuna wa kumuuliza.
 
Du! Kumbe watu wengi mmechoshwa na maisha ya bongo.
 
achana na Katavi anayeenda Lubumbashi....twenzetu visiwani huko tukale maupepo....

hehehe! Maupepo bila yuro si nitasikia njaa! Lol. Katavi anakimbia na vx yake, nataka nidandie lift hapo.
 
Back
Top Bottom