TAPIKA NYONGO YAKO yoooote HAPA!!! USIAMALIZE NAYO 2013, INGIA 2014 UKIWA FRESH!!!!

mie hapa nina nyongo hadi inataka kumwagika ila walio niudhi zaid ni wale ambao huona CC ni kijiwe cha umbea tu na kwamba hatuna kazi za kufanya.

nilichukia zaid pale uzi wenye maana hausomwi hata na watu 100 ila wa mambo ya kusini mwa mwili lol! husomwa na memba 300 na guest 400 jamani!!!!!!!!!

mbaya zaid ni pale unaweka uzi wanasoma guest 3000 arrrgggggggghhhhhhhhhhhhh! hivi hawa kwann wasijiunge tu wanabaki kuchungulia nje yaani hawa wazee wa chabo nataka tuwaundie mkakati lol!
 
Si uilete basi mbona unaniringishia tu . . . .ujue jioni naenda kwa mwalimu gfsonwin??!

heheh
Alafu sijapokea zawadi yoyote mpaka sasa we ndo utakuwa wa kwanza etii!!

Heheheeee hata mimi sijapokea tena hata ahadi sijapewa.
Hivi ulinambia unapenda zawadi gani?
 
Last edited by a moderator:
mkiva asante sana kwa kuniunga mkono aise maana vijana hawa ni matatizo sana
 
Last edited by a moderator:
Nina kinyongo na Erickb52 na Arushaone waliniahidi kreti ya Ndyofu kwa msisitizo Ndyofu na mpaka leo sijaliona wasikatishe mitaa ya unga lelo watarudi uchi bila hata boxer maana nawaagiza vijana wangu wawavue kila kitu na wawavutishe cha arusha
Halafu nina hasira sana na Mungi kanisemea kwa nitonye eti naendaga kwenye kwaya na sweetlady

Mr Rocky la kwenda kwenye kwaya ni la kweli kabisa Mungi hajakosea aisee tena huwa unamptia kila siku
Namshangaa nitonye anakuangalia tu badala ya kukudunga busha
 
Sasa we una hasira na mimi wakati sweetlady aliniambia eti wewe ndiyo original na nitonye ni duplicate
 
Mr Rocky la kwenda kwenye kwaya ni la kweli kabisa Mungi hajakosea aisee tena huwa unamptia kila siku
Namshangaa nitonye anakuangalia tu badala ya kukudunga busha

We nawe si unyamaze sasa nitonye yuko machimboni anasaka mahela na ssi huku tunaendelea kufundishana namna ya kuimba kwaya
Erickb52 la ndyofu umelinyamazia eehh
Halafu Mungi saa nyingine una akili wewe kidogo ungekuwa house boy
 
Last edited by a moderator:
Wananikera wale wanotafuta BAN kwa nguvu, mtu ana create ID ili atoe mitusii aondoke.

More to come..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom